Kumetokea nini Tumaini Hospital Upanga?

TUTUO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,253
2,023
Habari wandugu,nimefika job asubuhi nikaona siko poa nikaamua kutoka kwenda pale Tumaini hospital ila nilichokikuta kimenishangaza hakuna huduma na amsha amsha za zamani wamepatwa na nini?
 
Samahani kumbe wahusika wa hiyo hospitali wote ni wagonjwa?!!!
Hakuna staff ewe mwanafunzi wa memkwa yaani kwa kifupi hakuna activities za kiofisi zinaendelea au unafikiri nimeeuliza tu humu? Anyway nimepata jibu jamaa wamefirisika
 
Habari wandugu,nimefika job asubuhi nikaona siko poa nikaamua kutoka kwenda pale Tumaini hospital ila nilichokikuta kimenishangaza hakuna huduma na amsha amsha za zamani wamepatwa na nini?
Subiri usiondoke ngoja niende nikaangalie ninauhakika wa kukuletea jibu.
 
Tatizo walikuwa wanatumia insuarance kama AAR na strategies ambayo makampuni mengi yamejitoa kutokana na hali ya uchumi hata Aga Khan nako hali siyo nzuri watu wanajaa Muhimbili na Mwananyamala.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom