Kumetokea nini barabara ya Dar - Chalinze? magari hayaendi masaa mawili sasa

usije kuwa msururu wa mr. Fast Jet kuelekea Qunnu na Mveso kwa Tata
 
Kuna ajali imetokea eneo la Ruvu, kwa wale wanaotokea mikoa ya kaskazini ni bora wangepitia njia ya Msata kutokea Bagamoyo.
 
Kuna mtu anasafiri kwenda tanga amenambia hata chalinze hawajafika,,,,,huenda kuna ajali,,,sidhan kama barabara itakua na tukio lingine zaid ya ajali
 
Katoka kwenye graduu Mzumbe? Kuna lori limeanguka hapo kati
 
end of thinking capacity,,,kuna vyuo vingap vinafanya mahafali moro???hadi foleni iwe hivyo,,,na miaka mingine huwa hakuna mahafali?????

Chuo kimoja nimeangalia gari zenyewe chache huwezi linganiisha na zile zinazo enda kupeleka watoto Marian Bagamoyo
 
Hili linawahusu Tanroads moja kwa moja. ni tz peke yake ambapo watu wa Tanroads wanafanyia kazi oficini na sio barabarani. Sisi traffic police kila siku tunaf
anya kazi za Tanroads. Lorry linah
aribika na kuziba njia. tanroads hawa
na habari wala hawajui kwa
mba ni jukumu lao kulikata faini wanajua hiyo ni kazi ya traffic. kwenye mizani tu ndio wanakojua kuna kazi. si muda mrefu hii nchi itakua afailed state
 
Back
Top Bottom