Ni msururu mrefu wa magari kwa muda wote huo hatujasogea.
Magari ni mengi sana. Kuna graduation za vyuo Morogoro.
Magari ni mengi sana. Kuna graduation za vyuo Morogoro.
Graduation zinahusikaje na foleni...au wanagawa shahada barabarani
end of thinking capacity,,,kuna vyuo vingap vinafanya mahafali moro???hadi foleni iwe hivyo,,,na miaka mingine huwa hakuna mahafali?????
Wangelala tu Kinguruila wanawahi nini Dar?