Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?