kumekuchaa RED CARD hiyoo nishapewa..

Rahul Pacquao

Senior Member
Feb 9, 2013
148
180
habari za Leo wakuu

bila kusema mengi nikwamba penzi languu lililo kua Lina Tapa Tapa kama mfamaji hatima yake lime rest in peace

inani pain sanaa lakini jinsi sinaa nifanye nini jamani nimsahau kabisaa coz nlipenda kwa moyo wote nifanye nini jamanii

naitaji faraja kutoka kwenu nduguu zangu yamenikuta mwenzenuu...
 
Idadi yao hawa mabinti ni kubwa sana hata tukigawana 5 nadhani wengine watabaki pekee yao sasa weka nyimbo mpya kwani playlist yako ilikua na nyimbo 1 tu?
 
Idadi yao hawa mabinti ni kubwa sana hata tukigawana 5 nadhani wengine watabaki pekee yao sasa weka nyimbo mpya kwani playlist yako ilikua na nyimbo 1 tu?

Du unamdanganya mwenzio. Rlimu ya VVU aliielewa vizuri ya kuwa na mpenzi mmoja. Ngoja apumzike ampate mwingine taratibu.
 
Du unamdanganya mwenzio. Rlimu ya VVU aliielewa vizuri ya kuwa na mpenzi mmoja. Ngoja apumzike ampate mwingine taratibu.

Demu unaemuamini ndio atakupa ngoma sasa kama uyo miaka 5 alijua yuko mwenyewe leo katuma pic na kichupi kwa shababi mwingine anawezaje kukosa ngoma kwa hiyo cheni pia,tulia ngoma yaja au rukaruka ukutane nayo kwenye kona hizi mambo usizipe tafsiri.
 
Usipoteze muda kumuwaza mtu ambaye hana taarifa na mawazo ulonayo maisha enyewe mafupi haya. Tulia atakuja mwingine zaidi yake...kama daladala tu apo "anashuka mtu anapanda mtu" maisha yanaenda
 
Pole kwa kadi nyekundu,unajua nini?kaja kwangu nimefanya mapokezi ya kufa mtu,nenda kambi ya fisi kaopoe mwingine....loading error...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom