Kumekucha zanzibar:baraz la wawakilishi lawalipua familia ya abeid karume kwa ubadhirifu wa ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumekucha zanzibar:baraz la wawakilishi lawalipua familia ya abeid karume kwa ubadhirifu wa ardhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 20, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  Naona haya mabunge sijui walipanga
  hatimae baraza la wawakilishi limegundua ufisadi wa kutisha kwenye serikali ya mapinduzi ya zanzibar
  huku familia ya rais mstaafu mh abeid karume ikitajwa kumilikishwa viwanja vya serikali na vingine kuwaondoa wananchi kwa maslahi yao binafsi ..mwananchi newspaper inasema

  wakati familia hiyo ikituhumiwa mfanyabiashara maarufu said bakheresa nae anatuhumiwa kupewa na ardhi kubwa ya serikali na wizara ya ardhi kwa minajili ya memo toka kwa rais mstaafu abeid karume
  bakeresa alijitetea kwa kudai yeye alipigiwa simu na waziri wa ardhi na kudai kuna viwanja vinauzwa kama anaitaji aje amwone ofisini...nilienda kama mzanzibar mwingine nikaona kinachonifaa tukafikiana bei zao nikanunua sioni tatizo langu...

  Aidha baraza limegundua kuna ufisadi mkubwa juu ya uvamizi wa fukwe z zanzibar ukiongozwa na swala la ten percent kwa mawaziri ama kupewa hisa kwenye moja ya hotel zilizo ufukweni...hi ni hatari sana waheshimiwa sijui hawa watu walikuwa wanatupeleka wapi...kamati imependekeza hotel ya amina aman abeid karume hati zake zote zifutwe na hati ya kamili itengenezwe kwa ajili ya mlalamikaji mwenye kiwanja hicho ambae aliporwa na familia hiyo kwa minajili ya kumlipa hapo baadae serikali itakapoanza kuwalipa waliochukuliwa ardhi zao...hatua za kisheria zichukuliwe juu ya waote waliohusika kwenye wizara ya ardhi kubatilisha hati za mama huyo mmiliki halalai wa kiwanja kilichoporwa na familia ya karume/abeid aman...

  Serikali imegundua pia mchano othman said akiwa waziri wa ofisi ya rais ana miliki asilimia 10 ya hisa katika mradi wa hotel ya misalii suset beach iliyopo pemba.....waheshimiwa wakati waziri huyu ambae sasa ni waziri asie na iwzara maalum alitumia nafasi yake kuisaidia kendeshwa kwa hoteli hii bila kibali cha mazingira wala leseni ya utalii kutokea pemba ambako ndiko kwenye mradi..baraza linaomba mh rais amwajibishe mara moja


  lingine mh spika naomba nililete mlipokee na wajumbe wako kuna mfanyakazi aisha msanif haji mttoto wa naibu katibu mkuu wa wizara ya miundo mbinu na mawasiliano ambae akiwa kwenye majarobio ajatimiza miezi mitatu aemajiriwa gafla akapelekwa shuleni hata hajamaliza miezi mitatu...huku akiwa anaendelea kupokea mshahara kama kawaaida..imebainika mfanyakazi huyu analipwa kama mtaalam wa shahada wakati hana mwezi ameelekea shulen na ajapata shahada hiyo...

  Kamati imependekeza viongozi wote waliohusika na wakuu wa wizara ya miundombinu na mawasiliano na ofisi ya rais na utumishi kwa pamoja wawajibishwe ...pia imependekeza uajiri wote ambao kamati imependekeza uangaliwe upya ufanyiwe kazi ndani ya wiki tatu

  kamati pia imegundua wizi wa kiwanja kingine cha serikali amabach kimeuzwa kwa million 40 wakati thamani halisi ni million 200..kamati imeona aliehusika kutoa ruhusa ya kuuza kiwanja hiki ni katibu wa rais haroub issa alieandika barua........ambae amechukua mamlaka ya rais kitu ambacho tumependekeza awajibishwe mara moja

  inapendeza kuona kuna zitoo weeeengiiiiii kila sehemu za bunge zetu mungu awasaidie na nyie zanzibar mbadilike.
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Bara Moto,Unguja nako Moto!!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kwahi walivyogundua wamefanya nini??!!

  Wanagundua wakati vimeshauzwa?
  Kwanini wasigundue janja!!
  Kazi yao ni kugundua wizi au kuzuia wizi??!!

  Mabunge ya kishenzi shenzi haya!!!.......bure kabisa!
   
 4. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hiyo familia ya karume ya karume ni sawa tu na mkapa na mkewe, yani walikuwa wanakwapua kila kitu kizuri
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Chai moto .... andazi moto!
   
 6. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Waiulize familia pia kuhusu share ya Zanzibar BoT na umiliki halisi wa PBZ
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  najuta kuzaliwa tanzania
   
 8. Godfrey Electronics

  Godfrey Electronics JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  sepe na sisi tuingie tufanye madudu yetu wayaone jamani. WANANG'ANG'ANIA NINI?
   
Loading...