Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,638
- 218,073
Waziri hajaongeza chochote, ameongea kile anacho kifahamu kama waziri sasa Lema kwakua anashaka na kauli ya Waziri aje aweke hadharani anayo fahamu ii itasaidia wananchi kuufahamu ukweli. Wakati serikali ilikaa kimya kilamtu alizungumza lake sasa serikali imezungumza watu wameona tofauti kubwa ya jambo husika.
Atueleze na tukio la chacha Wangwe na yule mlinzi wa bowe aliyefia gesti
Atueleze na tukio la chacha Wangwe na yule mlinzi wa bowe aliyefia gesti
Umenikumbusha hii pini hadi nimeamua kuzama YouTube kuitafuta.Dawa ya moto ni moto
sasa kila kitu kitaanikwa kudadeki !Wauji na watekaji utawajua tu kwa matendo yao!
jikite kwenye mada , labda kwa faida yako yule dereva wa chacha wangwe baada ya kufungwa kifungo cha uongo alipata msamaha wa RaisAtueleze na tukio la chacha Wangwe na yule mlinzi wa bowe aliyefia gesti
Pia alikuwa ni mgombea Ubunge kupitia chama chenujikite kwenye mada , labda kwa faida yako yule dereva wa chacha wangwe baada ya kufungwa kifungo cha uongo alipata msamaha wa Rais
Hii haifichi kwamba alikuwa mamlukiPia alikuwa ni mgombea Ubunge kupitia chama chenu
Dawa ya moto ni moto
Hii single ya ukabila this time imebuma. Wait and see.CDM is a family political party. Whoever threatens to overturn the table of northerners must suffer the consequences.
hakuna haja ya kurembaViva Chadema✌️
tushangilie ahadi ya "zitajibiwa mapema"