KUMEKUCHA: Washereheshaji(MCs) na Wapiga picha kuanza kutozwa kodi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
MC.jpg

BUNGENI: Wabunge wataka Washehereshaji(MCs) na Wapiga picha waanze kutozwa kodi ili Serikali iweze kukusanya mapato ya kutosha.

Wakati huo huo, Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Allan Kiula amesema maeneo mapya ambayo yanaweza kuanzishiwa kodi kuwa ni pamoja na Ushauri Elekezi (Consultancy Agencies) sambamba na kuimarishwa kwa ukusanyaji wa kodi ya zuio ya asilimia 10 kutoka kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba na makazi.
 
Hiyo 10% alimaanisha akatwe mwenye nyumba au mpangaji?! Hebu fafanua tafadhali
Unajua haya mapendekezo sio mapya bali yalikuwepo kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha unaoishia June 30 ila naona kama hayakutelezwa sasa sijui kipindi kile wanajadili Bajeti mapendelezo haya yaliondolewa au yalipitishwa lakini hayakutelezwa ndio sielewi.
 
Hiyo 10% alimaanisha akatwe mwenye nyumba au mpangaji?! Hebu fafanua tafadhali
Kodi ya zuio (withholding Tax ) inakusanywa na mpewa huduma. Mfano unapopanga chumba kodi yako 30,000 kwa Mwezi, unatakiwa kumkata mwenye nyumba wako 3,000 ukazilipe TRA.

Hii imekuwa ikifanya kazi vizuri kwenye wapangaji wa majengo ya ofisi. Lakini huku kwenye makazi watu tumekuwa tukiwaachia wenye nyumba kodi za serikali kwa kuwalipa full amount. Sasa walete utaratibu wa namna ya kuwabana wapangaji wa makazi nao walipe hiyo kodi na kuwakata wenye nyumba. Ikiwezekana mikataba ya kupangishana nyumba iwe ni lazima igongwe muhuri wa serikali ya mtaa. huo muhuri usigongwe hadi mkataba uwe umepita TRA kwanza. Kwa ajili ya Tax clearance. Hapo wataweza kukusanya hiyo kodi ya zuio kwa wenye nyumba za kupangisha
 
Kwahali hiyo itachukua muda sana mpaka TRA kuja kuipata hiyo kazi....sidhani kwanza hata kama wana database ya hao wanaopaswa kulipa hiyo kodi.
 
Kodi ya zuio (withholding Tax ) inakusanywa na mpewa huduma. Mfano unapopanga chumba kodi yako 30,000 kwa Mwezi, unatakiwa kumkata mwenye nyumba wako 3,000 ukazilipe TRA.

Hii imekuwa ikifanya kazi vizuri kwenye wapangaji wa majengo ya ofisi. Lakini huku kwenye makazi watu tumekuwa tukiwaachia wenye nyumba kodi za serikali kwa kuwalipa full amount. Sasa walete utaratibu wa namna ya kuwabana wapangaji wa makazi nao walipe hiyo kodi na kuwakata wenye nyumba. Ikiwezekana mikataba ya kupangishana nyumba iwe ni lazima igongwe muhuri wa serikali ya mtaa. huo muhuri usigongwe hadi mkataba uwe umepita TRA kwanza. Kwa ajili ya Tax clearance. Hapo wataweza kukusanya hiyo kodi ya zuio kwa wenye nyumba za kupangisha
Mwenye nyumba atakwambia ukitaka nyumba yake mlipe 30000 yake halafu tafuta 3000 peleka TRA ndo usaini mkataba. Vinginevyo hakuna chumba.
 
kuna hela nyingi sana huku, sijuin serikali ilikuwa wapi kungamua hili, mtu anapiga picha kumi kwa laki moja na nusu kisha mkwanja wote anautia mfukoni.
Mbona machinga wa mitaani wanaotembeza biashara hawatozwi na pengine wanakuwa na mtaji mkubwa kuliko mmiliki wa ofisi?
 
Kodi ya zuio (withholding Tax ) inakusanywa na mpewa huduma. Mfano unapopanga chumba kodi yako 30,000 kwa Mwezi, unatakiwa kumkata mwenye nyumba wako 3,000 ukazilipe TRA.

Hii imekuwa ikifanya kazi vizuri kwenye wapangaji wa majengo ya ofisi. Lakini huku kwenye makazi watu tumekuwa tukiwaachia wenye nyumba kodi za serikali kwa kuwalipa full amount. Sasa walete utaratibu wa namna ya kuwabana wapangaji wa makazi nao walipe hiyo kodi na kuwakata wenye nyumba. Ikiwezekana mikataba ya kupangishana nyumba iwe ni lazima igongwe muhuri wa serikali ya mtaa. huo muhuri usigongwe hadi mkataba uwe umepita TRA kwanza. Kwa ajili ya Tax clearance. Hapo wataweza kukusanya hiyo kodi ya zuio kwa wenye nyumba za kupangisha

Tutazunguukaaa lakini mwisho wa siku mpangaji ndiye atakayelipa

Kama mwenye Nyumba kodi ni 30,000/ usishangae akiianza kudaiwa atapandisha kodi ifike 35,000/
 
Back
Top Bottom