Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,168
- 6,291
Kumbe Saudia inajua kushambulia tu wa Yemeni lakini mfumo wake wa kujilinda na makombora ni bure kabisa. Wahuthi kwa sasa wana locally made drones zenye uwezo wa kwenda kushambulia hadi karibu 1000km. Kuliko kuendelea kupoteza rasilimali zao ni muda mwafaka sasa utawala wa Saud arabia kukubali yaishe.