Waliungana kwa bahati mbaya, na hili ndo kaburi lao!This time CCM inawatafuna milele!
Ukawa ni muungano wa vyama vinne, kimoja kikitoka ukawa haifiki mwisho. Ukawa itafika mwisho tu ikiwa vyama vyote vitaamua kujitoa. Ukawa sio abbreviation ya hivyo vyama vinne kiasi kama kimoja kikiondoka basi vingine vinavyobaki kunakuwa hamna meaning. CUF pekee sio UKAWA na Chadema vile vile. Kwa hiyo tuache kuwa ma Agent wa Giza
Tamaa ya viongozi na madaraka ndio tatizo. Mkitaka kuungana lazima wengine wakubali kupoteza vyeo. CUF wanaona wasipoweka mgombea URAIS ni kama chama chao kitakufa.
ccm mna kazi kweli,ya kwenu yamewashinda mmehamia ukawa