Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

Totos Boss

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
5,459
1,504
Kama CUF hawatakubali Prof. kustep down basi CHADEMA wakubali Dkt. kustep dowa. Kama hiyo ni chungu basi wakubaliane kutokukubaliana kila upande usimame kivyake.
 

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,543
7,440
Nasubiri utabiri wangu wa siku za nyuma, siku ukawa watamtangaza mgombea urais ndio mwisho wa huu muungano, hawa waliungana kwa kukurupuka sasa wamenasa wote kwenye mtego,
Mbaya zaidi lipumba na Slaa ni wenye uchu na madaraka hakuna ataekubali kumuachia mwenzake Hapo
 

Kimweri

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
3,999
3,939
UKAWA will do itself a huge favor by spilting, as of now it seems the differences are irreconcilable.
Their game plan should be go out there get the votes individually.then when all is said and done waungane sasa.wangefanya hivi vikao na kuweka makubaliano kabla ya kupingana sasa wasingekuwa katika hii sintofahamu.

The worst scenario for CCM will be if UKAWA split them CUF joins hands with ACT to clear the plate on pwani votes.Lowassa joins NCCR hence forcing Kafulila out to whichever other party.without Kafulila,NCCR can take the beating of accepting Lowassa,at the same time Lowassa will get a chance to prove his mightiness.NCCR obviously wataanzia na base ya kura Laki 8,hata kwa kuzinunua kama alichofanya kwenye udhamini.kwa kuwa fomu za udhamini anazo na mtandao anao,he has a leg up.hakuna mgombea hata mmoja who can boast visiting 30 region this year and hold rallies.hata kama walikuwepo CCM,CCM wanatakiwa wajue kuwa Lowassa Ana uwezo wa kuwagawa akiamua.
Upande mwengine CDM watakuwa huru kusimamisha mtu wamtakaye na kuongeza watakalo.no body will.haunt them.

Hasara pekee ya hii course of actions ni kuwa CCM wanaweza shinda uraisi kwa kura chache.

Faida nyingi sana.Upinzani utaimarika,na hakuna chama kutakuwa supressed.pia zitajengeka kambi 3 kuu za upinzani,ambapo zitaweza kuja ungana baadae kila upande ukiwa na leverage.sasa hivi muungano ni shida kwa kuwa kuna wanaodhani hawapewi uzito sahihi,na kuna wanaoamini wana uzito kuliko wanavyofikiriwa.

Pia kambi hizi zina nafasi kubwa ya kufungua idadi ya wabunge wa CCM kufikia chini ya asilimia hamsini.hii ni hatua muhimu ya kujiondoa CCM madarakani.ukishawaondolea kinga ya kutunga sheria kandamizi ni kama umewaua CCM.

Wapinzani wanatakiwa wajue hakuna shortcut,wakifanya hivi in 5-10 years time CCM will be very weak.kwani CCM asiyempenda magufuli ataenda kwa Lowassa,wapinzani pia wataendelea kuwaita CCM mafisadi, kwani kwenye list ya mafisadi kuna JK na MKAPA,Hawa hawawezi kuhama CCM hivyo CCM wasijidanganye akiondoka Lowassa basi sio mafisadi.

Mwenye uwezo wa kusema CCM sio mafisadi ni Dr.Slaa tu,kwani ndio alitoa list.and so far hauwezi kufanya reference kwenye list ya slaa kumuita Lowassa fisadi halafu uavje kumuita JK na MKAPA fisadi.
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,359
Hivi lipumba kwa akili yake anaeza akajakuwa raisi wa tz hata kwa sekunde? ni bora akubali ili apewe angalao umakamu
 

stanlthecreator

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,947
646
Saccos ya wachaga haiwezi kukubali ipoteze ruzuku kiurahisi,wachaga always ni pesa mbele maslahi ya taifa baadaye
 

Masonjo

JF-Expert Member
Aug 8, 2010
2,724
1,115
Ukawa ni muungano wa vyama vinne, kimoja kikitoka ukawa haifiki mwisho. Ukawa itafika mwisho tu ikiwa vyama vyote vitaamua kujitoa. Ukawa sio abbreviation ya hivyo vyama vinne kiasi kama kimoja kikiondoka basi vingine vinavyobaki kunakuwa hamna meaning. CUF pekee sio UKAWA na Chadema vile vile. Kwa hiyo tuache kuwa ma Agent wa Giza

Kinadharia ni hivyo lakin kiuhalisia UKAWA ni umoja wa Chadema na CUF, bila mmoja kati ya hawa hakuna huo umoja maana NCCR na NLD hawa watu nyuma yao.Hawa ni kama kupe tu wanaosubiri kuvuna kunywa damu,kama Mbatia anaihitaji Chadema ashinde Vunjo.
 

melchior

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
230
214
CDM wanataka madaraka wala sio mabadiriko...Ngoja tusubiri chama cheme nia ya mabadiriko
 

justus ndyanabo

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
444
377
ukiwa ccm ni shida utasikia huyu mr clean .....baadae oh fisadi mara chaguo la Mungu....oh chama kimemfia sasa ona maajabu Jembe na Tingatinga......oh dola itakuwa shs 7000
 

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,543
7,440
Tamaa ya viongozi na madaraka ndio tatizo. Mkitaka kuungana lazima wengine wakubali kupoteza vyeo. CUF wanaona wasipoweka mgombea URAIS ni kama chama chao kitakufa.

Kwanini isiwe chadema ikakubali CUF wamsimamishe lipumba? Tatizo mliungana kwa kudhani cuf watawakubalia kila kitu, sasa mmenasa hakuna ataetoka akabaki salama,
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom