Kumekucha uchaguzi Serikali za Mitaa, wasimamizi wala kiapo

diana chumbikino

JF-Expert Member
May 29, 2018
428
368
Leo Septemba 12 mwaka 2019 Mkoa wa Dar es salaam umewaapisha wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo hatua hiyo imekuja baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo kutangaza majina ya wasimamizi hao.


 
Back
Top Bottom