Kumekucha Uchaguzi mdogo wa Madiwani, NEC yasambaza vifaa vya uchaguzi huo

Hawa majamaa ni tawi la ccm,sasa naona wanaiandalia ccm kuchukua kata ambazo ccm ilinunua madiwani!
 
Hawa majamaa ni tawi la ccm,sasa naona wanaiandalia ccm kuchukua kata ambazo ccm ilinunua madiwani!

Na sisi watu wa Kigoma Manispaaa tutasema NEC ni tawi la ACT - Wazalendo mbona manispaa yote tumekomba Mbunge na madiwani wake ni full ACT wazalendo!
Tatizo la kuishi kwa hisia ni baya sana ni sawa na mwizi akiona askari polisi anakua na hofu muda wote! Nec inafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria hizo hisia zako baki nazo mwenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom