Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,518
- 25,490
Ila mkuu tuliambiwa litaleta faida kubwa wengine humu walifikia kusema tutapata faida kuliko hata wawekezaji mimi niliwauliza tunapata kiasi gani kwa bomba la TAZAMA ili tuone huo mchanganuo na TOTAL na vyovyote vile mbona mikataba mnasema ya umma mbona haijadili bungeni na wananchi kama ina faida au laa maana sio biashara ya mtu binafsi ni ya Watanzania sasa taarifa nyeti zipo ikulu huku total wakimwaga mtandaoni kwa kuwa wamewin vita...Acheni kupotosha watu ...sjui kwann watz tumekuwa wajinga kias hiki unafaidika nni kupotosha umma
Magufuli alisema bomba hili litakuwa Tanzania kwa aslimia 70 na 30 Uganda kwa maana ya eneo la kupita bomba hili linakuwa eneo la Tanzania kwa asilimia 70 na 30 Uganda ndio alichosema Kama ukuelewa ndio alichoomaanisha na akasisitiza kwenye ujenz wa bomba hili wakat linajengwa tz wahusika wawe wazawa ili kunufaika na ujenz wa bomba
Hivi wew kwa akili zako tuu uwez kufikiria umiliki thaman kwa asilimia kubwa kuliko muhusika inaingia akilin kweli acheni kupotosha umma