Kumekucha: Sasa Iukulu yahusishwa sakata la kutorosha wanyamapori

Raisi anaongelea marelia tu, have been elimineted in zanzibar,huku wanyama wanaibiwa

jamani,wakubwa wanalielewa hilo na tunaomba wabunge wahoji hilo
 
Endapo Ikulu hatajibu tuhuma hizi na nyingine zinazofanana na hizi kwa majibu ya uhakika na yenye shibe ya ukweli wala sio porojo, watakuwa wanaharakisha kuwaaminisha wananchi kuwa serikali iliyoko madarakani inashirikiana na mafisadi. Kwa maneno mengine wananchi uwenda wakahamasika kuitoa (serikali ya chama tawala)madarakani ama 2015 au kabla ya hapo kwa nyenzo zozote zile,huku wakiamini kuwa wanakomesha uporaji wa rasilimali za nchi yao. Nina imani serikali makini tena sikivu na yenye nia njema na rai wake haiwezi kuruhusu hili litokee na wala haiwezi kulizuia lisitokee kwa mtutu na viboko na marungu, au kuandaa mbinu za kuwabambikiza kesi wale watakao waamsha raia juu ya tuhuma hizi.
 
Raisi anaongelea marelia tu, have been elimineted in zanzibar,huku wanyama wanaibiwa

jamani,wakubwa wanalielewa hilo na tunaomba wabunge wahoji hilo

Wanahimiza kunawa mikono kwa sabuni, kiasi kwamba umasikini wa raia wa nchi yetu unatokana na uchafu wa mikono.
 
Aaaah.........dah
lakini hakuna chochote kitakachoendelea.......yamefunikwa MANGAPIIII
 
Kuna habari watu wa System hii issue inawasumbua sna kwani hajui itaishia wp....wahusika ni wakubwa
 
Back
Top Bottom