North Korea yeye anaendelea ku-test rocket zake ili Trump aongeye arushe kubwa kuliko aliyo wahi kurusha! Anachokonoahapo angealikwa na mzee wa kiduku pia
Korea ingependeźa
kwa taarifa yako,dunia nzima hakuna sehemu ndogo,iliyojihami kwa silaha nzito nzito na makombora kama kaliningrad,russia akiamua kulipua mabomu aliyotega humo,kwa remote toka moscow,ulaya nzima hapakaliki,ni bora ukateke moscow,kuliko kaliningrad.Ili Urus afike Kalingrad lazima afike au apite Ulaya yaani kwa maji au ardhi lazima akanyage Estonia, lithuania, Finland, Sweden, Denmark, Germany, Poland au Baltic Sea. Kwa hiyo vita vikianza litatekwa haraka na Ulaya kwa kuwa hawatweza kulikontro. Liées siraha pale ni kuwapa faida NATO.
Mkuu pekua taarifa vizuri kuhusu Kalingrad ndo uje kukomment, Ni rahisi kuiteka Moscow kuliko kisiwa hicho kilicho katikati ya Nato, ukisikia NATO wanaihofia urusi ujue Ni kisiwa Cha Kalingrad.....Ili Urus afike Kalingrad lazima afike au apite Ulaya yaani kwa maji au ardhi lazima akanyage Estonia, lithuania, Finland, Sweden, Denmark, Germany, Poland au Baltic Sea. Kwa hiyo vita vikianza litatekwa haraka na Ulaya kwa kuwa hawatweza kulikontro. Liées siraha pale ni kuwapa faida NATO.
Sio kisiwa acha uongo.Mkuu pekua taarifa vizuri kuhusu Kalingrad ndo uje kukomment, Ni rahisi kuiteka Moscow kuliko kisiwa hicho kilicho katikati ya Nato, ukisikia NATO wanaihofia urusi ujue Ni kisiwa Cha Kalingrad.....
Unachekesha ww kwan hao hawatakiwi kujifunza namna ya kutumia silaha nchi kavu???.hivi wanamaji mazoezi yao huwa nchi kavu?? nitoeni ushamba mie…?
Bro ushaambiwa hiyo Kalingrand sio poa.Kalinngrand inavyoonekana katika Ulaya. Ili Urus ifike Kalingrad inatakiwa kupita Latvia na Lithunia ambao ni maadui zake au itokee kwenye bandari ya Santa Petersburg ikanyage maji ya Finland na Estonia, Sweeden/Latvia na Lithuania. Hao members hapo Wote ni adui zake ambao wapo umoja wa Ulaya na NATO. Rafiki yake ni Beralus ambae hana faida hapo. View attachment 1180943
😂 😂Source si hiyo BBC Swahili,au unataka Tomato souce mkuu?