Kumekucha: Russia, China, Iran na Venezuela wafanya mazoezi ya kijeshi ndani ya Ulaya

Ili Urus afike Kalingrad lazima afike au apite Ulaya yaani kwa maji au ardhi lazima akanyage Estonia, lithuania, Finland, Sweden, Denmark, Germany, Poland au Baltic Sea. Kwa hiyo vita vikianza litatekwa haraka na Ulaya kwa kuwa hawatweza kulikontro. Liées siraha pale ni kuwapa faida NATO.
 
kwa taarifa yako,dunia nzima hakuna sehemu ndogo,iliyojihami kwa silaha nzito nzito na makombora kama kaliningrad,russia akiamua kulipua mabomu aliyotega humo,kwa remote toka moscow,ulaya nzima hapakaliki,ni bora ukateke moscow,kuliko kaliningrad.
 
Ili Urus afike Kalingrad lazima afike au apite Ulaya yaani kwa maji au ardhi lazima akanyage Estonia, lithuania, Finland, Sweden, Denmark, Germany, Poland au Baltic Sea. Kwa hiyo vita vikianza litatekwa haraka na Ulaya kwa kuwa hawatweza kulikontro. Liées siraha pale ni kuwapa faida NATO.
Mkuu pekua taarifa vizuri kuhusu Kalingrad ndo uje kukomment, Ni rahisi kuiteka Moscow kuliko kisiwa hicho kilicho katikati ya Nato, ukisikia NATO wanaihofia urusi ujue Ni kisiwa Cha Kalingrad.....
 
Kalinngrand inavyoonekana katika Ulaya. Ili Urus ifike Kalingrad inatakiwa kupita Latvia na Lithunia ambao ni maadui zake au itokee kwenye bandari ya Santa Petersburg ikanyage maji ya Finland na Estonia, Sweeden/Latvia na Lithuania. Hao members hapo Wote ni adui zake ambao wapo umoja wa Ulaya na NATO. Rafiki yake ni Beralus ambae hana faida hapo.
IMG_20190814_084001_485.jpeg
 
Kalinngrand inavyoonekana katika Ulaya. Ili Urus ifike Kalingrad inatakiwa kupita Latvia na Lithunia ambao ni maadui zake au itokee kwenye bandari ya Santa Petersburg ikanyage maji ya Finland na Estonia, Sweeden/Latvia na Lithuania. Hao members hapo Wote ni adui zake ambao wapo umoja wa Ulaya na NATO. Rafiki yake ni Beralus ambae hana faida hapo. View attachment 1180943
Bro ushaambiwa hiyo Kalingrand sio poa.
Wanasilaha nzito yani bora ukashoboke capital city kuliko huo mji.
Na tayari wanafanya mazoezi unataka kusema hawajafika???
Mataifa yaliyotajwa ukitoa Venezuela (Russia,China,Iran) watakatifu hao asa sijui hvyo vinchi ulivyovitaja vitampinga yupi hapo!!!!!
 
WAPI KIDUKU ANGETIA MATENDEGU HAPO INGENOGAA ILE MBAYAAAA MSISAHAU NA ILE DRONE ILODUNGULIWA DUNIA INATAKIWA KUWA HIVI SIYO MTU AU KUNDI MOJA LINATAMBA KILA SIKU HII NI DALILI KWAMBA UKIMTWANGA MWENZIO NGUMI YA SIKIO AFU UKAMUULIZA UNASIKIAJE BASI NAWE UTABONDWA GUMI LA JICHO NA UTAULIZWA UNAONAJE
 
Back
Top Bottom