Kumekucha: Russia, China, Iran na Venezuela wafanya mazoezi ya kijeshi ndani ya Ulaya

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,481
3,119
Duniani kila mtu ana rafiki yake,pamoja na kwamba marekani ana washirika wake,na wanampiga mkwara iran,upande wa pili ni kwamba,majeshi ya majini ya russia,china,venezuela na iran yamefanya mazoezi ya pamoja,katika mkoa wa russsia,uliopo ndani ya ulaya(NATO),yaani kanlingrad,jimbo hilo la russia,ndio sehemu ndogo iliyojihami na silaha nzito duniani,na liko ndani ya ulaya.
Kwa hiyo nchi za NATO,zinaishi na nyoka akiwa karibu na nyumba zao,
sijui lengo la mazoezi hayo ni nini
wakati kukiwa na wasiwasi,ghuba ya uajemi.
Screenshot_2019-08-11-20-02-15.jpeg
 
Back
Top Bottom