Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Exaggeration!Ni bora tuwape mamangi UKAWA maana kila mtu atakuwa anafanya atakacho hakuna kutii sheria wala nini, mishahara kila mtu 9000000000000000000000000000000000000000, Maandamo mpaka kwenye chumba cha ikulu ni wewe tu, ukitaka kuiba kwiba tu. Popoooooz
Ukiondoa dhana ya umungu mtu, si kweli kwamba maandamano ni kitu kigeni dunia hii. Angalia taarifa za habari nje ya nchi yetu, watu wanaandamana na mawe mkononi, wanachoma moto milki za watu wengine na bado haki yao inaheshimiwa. Simaanishi kuwa maandamano ni tija kwa kila jambo, lakini tambua kuwa kila mmoja wetu ana haki ya kusikilizwa.