Ndio democracy ya saccos na maigizo ya wazalendo, wakisaidiwa na rotten damWakaolewe na wale askari.
Ndio democracy ya saccos na maigizo ya wazalendo, wakisaidiwa na rotten damWakaolewe na wale askari.
Hivi ikatokea ndugu yangu ameuawa na askari wa CCM kwa sababu tu ndugu zangu ni wapinzani, najua kabisa ndugu yangu kauawa na CCM, halafu mke wangu akawashabikia wauaji, bado nitakuwa na upendo na mwanamke wa namna hiyo? Lazima niseme wazi, HAPANA.Kwa maumivu tuliyosababishiwa na CCM kwenye uchaguzi huu hata mimi ningekuwa na mume ambaye ni CCM tungeachana tu.
Huyo jamaa aliyeacha mke anajielewa sana, ningekuwa single ningemtafuta lol
Nadhani hapa siyo suala la itikadi bali ni mwenzi wako kushangilia au kushikamana na wauaji (CCM). Maana kwa sasa CCM siyo chama bali ni genge la wauaji, wavuruga demokrasia, na wavunjaji wa haki za raia.Sijajua kama kuna watu wapumbavu na wapo wanaoshabikia upumbavu, huwezi kulazimisha mtu achague chama anachotaka matokeo yake anamuadhibu hata mtoto asiye na hatia.
Kwa hiyo mama akiwa CCM na Mzee ACT wazalendo - mambo ya unyumba inakuwa hakuna tena ili msikwazane, maana unaweza kusaula ukakutana na guo la ndani la rangi ya kijana limeandikwa Hapa kazi tu - munkari wote unakata ghafla...
Aolewe na CCM wenzakeKwa hiyo mama akiwa CCM na Mzee ACT wazalendo - mambo ya unyumba inakuwa hakuna tena ili msikwazane, maana usiku unaweza kumsaula ze wife ukakutana na guo la ndani la rangi ya kijana limeandikwa Hapa kazi tu - munkari wote unakata ghafla...
Naye hajalazimisha abaki naye, kampa uhuru aende huko atakapokwenda kiroho safi!Sijajua kama kuna watu wapumbavu na wapo wanaoshabikia upumbavu, huwezi kulazimisha mtu achague chama anachotaka matokeo yake anamuadhibu hata mtoto asiye na hatia.
Kwani kaachwa na mahakamMawakili wana CCM mburuzeni hicho kidume kimpe mali mahakamni huyo mwanamke kiliyemuacha hakuna cha msikitini ni mahakamani tu
Mawakili wana CCM mburuzeni hicho kidume kimpe mali mahakamni huyo mwanamke kiliyemuacha hakuna cha msikitini ni maha
Au yule muigizaji wa filamu za ngono askofu Chidi (Gwajiboy)Analalamika nini akaolewe na Husein Mwinyi
Ndiko Lissu alikokimbilia, Amsterdam Ana umri gani.?Maumivu gani!!!!!! Wazanzibar hawawezi kutawaliwa na yule babu, marais wazee wabaki huko Ulaya na Marekani ambako hawazaani, wamebaki kuf...na tuu
Wala wazanzibari hawawezi kutawaliwa na wezi na wauwaji . AINGIAYE KWA UPANGA ATATOKA KWA UPANGAMaumivu gani!!!!!! Wazanzibar hawawezi kutawaliwa na yule babu, marais wazee wabaki huko Ulaya na Marekani ambako hawazaani, wamebaki kuf...na tuu
Sijajua kama kuna watu wapumbavu na wapo wanaoshabikia upumbavu, huwezi kulazimisha mtu achague chama anachotaka matokeo yake anamuadhibu hata mtoto asiye na hatia.
Shauri yaoSijajua kama kuna watu wapumbavu na wapo wanaoshabikia upumbavu, huwezi kulazimisha mtu achague chama anachotaka matokeo yake anamuadhibu hata mtoto asiye na hatia.