Kumekucha! Mwenye Mkoa wake kaja na bonge la Mkwara na wala hatanii na Wamakonde nao wamesema wataondoka na Mtu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameliomba Baraza la Mitihani nchini kukanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikisema shule kumi za mwisho kitaifa zinatoka mkoani Mtwara jambo ambalo si kweli na hivyo kuleta sintofahamu kwa mkoa na umma wa Watanzania.

Taarifa: ITV Tanzania

Hata hivyo Mpiga Mkwara Mkuu asisahau kuwa kwa Kawaida Jambo la Kwanza huwa linashika zaidi Sikioni hata kama baadae likija Kukanushwa.
 
Aache kusumbua watu...taarifa zote zipo mtandaoni...
Huku ni kukosa maarifa....ujinga mtupu
 
Haa haa haa! Kwa hiyo anapingana na matokeo, anahic wamefelishwa sio.Hivyo anataka wafaulishwe au? Unawezaje kukanusha taarifa ya matokeo ya mitihani? Haya wanazuoni karibuni mtujuze how can this be possible?
 
Pole zake bwana kaka. Ang'oe ujinga kama alivyong'oa bustani za watu kule Hai
Nawaomba na hawa Watu wa Baraza la Mtihani nao waje na Majibu Kwake kuwa wanamuomba waende nae Kumpima Akili kama zimetimia hasa.
 
Haa haa haa! Kwa hiyo anapingana na matokeo, anahic wamefelishwa sio.Hivyo anataka wafaulishwe au? Unawezaje kukanusha taarifa ya matokeo ya mitihani? Haya wanazuoni karibuni mtujuze how can this be possible?
Yaani ninavyowajua Baraza la Mtihani Tanzania lilivyo na Watendaji Intelligent na Academicians hasa waje na Taarifa ya Uwongo ihusuyo Mtwara?
 
WanaMtwara, fukuzeni huyo waKuja na utopolo asiye na akili, mkuu wa mkoa. La sivyo, mtaendelea kuitwa mashangazi.
 
Mimi nadhani hana haja ya kuhofu. Ajifunze kwa Jokate namna ya kuboresha elimu. Ajue pia kwenye orodha kuna ya kwanza na ya mwisho.
 
Sasa si akanushe yeye hizo taarifa na atupe uhalisia wa mambo ulivyo... asisumbue watu hapa
 
Asee. Kwa hiyo alitaka mkoa upi uwe wa mwisho
kukanusha na kutaka waombwe radhi ungekuwa na mantiki kama angetaja mkoa uliohitimisha ufaulu na kuzutaja shule za mkoa huo. Ikumbukwe ni mkoa huko nyuma wanafunzi walikacha shule kwenda kuokota korosho. Wahimize wazazi wawasimamie watoto kimasomo, kulia haitainua ufaulu.
 
Back
Top Bottom