GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,524
- 108,800
Inasemekana kwamba huyu ndiyo ' Mganga ' mkubwa na mwenye ' Ndumba / Uchawi ' mkubwa sana ambaye ndiyo amewapa nguvu hizi za ' Miujiza ' ambazo hawa Watu wanaojiita ' Mitume ' na ' Manabii ' ambao ni ' maarufu ' sana hapa nchini Tanzania hasa hapa katika Jiji letu hili la Dar es Salaam.
Na moja ya ONYO KALI ambalo amewapa ni kuwataka hawa ' Watu ' waache kutuhubiria, kuturoga na kutudanganya vinginevyo asipoona wamebadilika basi muda wowote kuanzia sasa atawataja ' mubashara ' ili waumbuke.
Msiseme kuwa GENTAMYCINE nina yangu ila nakuomba tu ukitaka upate kila kitu tafuta ' Kopi ' yako ya Gazeti la NYAKATI la leo kisha fungua ukurasa wa tano ( 5 ) upate kila kitu. Tukisema kuwa hawa Watu ni ' Wachawi ' na ' Waongo ' tu huwa hamtuamini.
Nawasilisha.