Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

Matendo tu ya wafuasi wa Mbowe ni ushahidi tosha kuwa jamaa alikuwa anwafundisha uovu na ujambazi dhidi ya Serikali.

Fanya utafiti mdogo tu kwa wale wote wanao Mshabikia Mbowe utabaini kuwa; wengi wao ni watu wana matendo maovu sana,
wengi wao ni watu wanao shabikia ama kuhamasisha uvunjifu wa amani.

wengi wao wamekaa kishari shari,ugomvi,ubishi na kutoa lugha za matusi. wamekaa kikatili katili, wapenda vurugu, wanao penda kushabikia mambo ya kikatili kama vile matukio ya mauaji, mfano hivi karibuni ktk tukio la mauaji ya Askari wafuasi wa Mbowe walifurahiansana.n.k.

Huyu jamaa ni Gaidi aliye jificha kwenye chama cha siasa hivyo ni lazima ashughulikiwe na sheria bila huruma. Eti! wanahamasisha mabalozi waje kwa wingi Mahalamani ili kuwatisha Majaji waogope!! maarifa madogo kweli, yaani wanatapa tapa tu.
 
Matendo tu ya wafuasi wa Mbowe ni ushahidi tosha kuwa jamaa alikuwa anwafundisha uovu na ujambazi dhidi ya Serikali. Fanya utafiti mdogo tu kwa wale wote wanao Mshabikia Mbowe utabaini kuwa; wengi wao ni watu wana matendo maovu sana...
Duh kumbe JF kuna wakosa akili kama ww
 
wafuasi wa Mbowe utawajua tu kwa kitambulisho cha kutukana, wao kwanza matusi ndio yaliyo jaa kwenye kinywa chao.
wengi utawaona tu huhitaji kuambiwa, popote pale ulipo fanya utafiti, hayo ndio mafunzo alipewa na Gaidi nambari moja.
 
Erythrocyte ,

..Ni kweli inachanganya Mbowe kushtakiwa kwa tuhuma za ugaidi ktk mahakama ya uhujumu uchumi...
Mkuu, Mahakama ikisema haina mamlaka ya kusikiliza itamwachia huru Mbowe na wenzake. Ikisema ina mamlaka, itaendelea kusikiliza. Pingamizi hilo ni la kisheria na ni kuhusu mamlaka ya Mahakama.

Mawakili wana wajibu wa kujaribu njia zote za kisheria kumaliza kesi au kufanikisha kumnasua mteja wao.
 
Back
Top Bottom