Kumekucha: Mapambano ya demokrasia tayari yameanza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,212
217,180
Popote ulipo , uwe unakunywa pombe, , supu , soda au maji ama uwe unakula chochote au uwe umepumzika tu , hapo ulipo tambua kwamba kwa sasa nchi yako ya Tanzania iko kwenye mapambano ya kuhakikisha demokrasia iliyotafutwa kwa udi na uvumba inalindwa kwa gharama yoyote .

Mwaka 1992 nchi hii iliingia rasmi kwenye mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ili kwenda sawa na ulimwengu wa kisasa na kuachana na ukiritimba wa chama kimoja , kwa lengo la kuwezesha watanzania wengi kushiriki siasa za nchi yao kwa kuleta mawazo tofauti yatakayoweza kuipeleka nchi yetu mbele inapostahili kuwepo , sheria ya vyama vya siasa ikawekwa ili kuwezesha mchakato huo unaotrend kwenye dunia ya kileo , Vyama vipya vikasajiliwa rasmi .

Kwahiyo kwa namna yoyote ile mtu binafsi hata awe na mapembe ya chuma , yeye binafsi au hata kikundi chake hawana uwezo wa namna yoyote ile ya kutushikia chini na kuturudisha nyuma kidemokrasia kwa masilahi yao , hilo halitawezekana hata kwa namna gani .

Kwahiyo kila mwananchi wa Tanzania aliye hai na mwenye akili timamu na anayemuogopa Mungu ni wakati wake sasa wa kufanya IBADA YA KUMTOLEA MUNGU SADAKA YA KUPIGANIA NA KULINDA DEMOKRASIA ILIYOWEKWA NA WAZEE WETU WAKIWA NA AKILI TIMAMU .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

“Ndege waliokuzwa kwa kufungiwa hudhani kuruka ni ugonjwa”  Ndivyo ilivyo kwa wa.jpg
 
Popote ulipo , uwe unakunywa pombe, , supu , soda au maji ama uwe unakula chochote au uwe umepumzika tu , hapo ulipo tambua kwamba kwa sasa nchi yako ya Tanzania iko kwenye mapambano ya kuhakikisha demokrasia iliyotafutwa kwa udi na uvumba inalindwa kwa gharama yoyote .

Mwaka 1992 nchi hii iliingia rasmi kwenye mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ili kwenda sawa na ulimwengu wa kisasa na kuachana na ukiritimba wa chama kimoja , kwa lengo la kuwezesha watanzania wengi kushiriki siasa za nchi yao kwa kuleta mawazo tofauti yatakayoweza kuipeleka nchi yetu mbele inapostahili kuwepo , sheria ya vyama vya siasa ikawekwa ili kuwezesha mchakato huo unaotrend kwenye dunia ya kileo .

Kwahiyo kwa namna yoyote ile mtu binafsi hata awe na mapembe ya chuma , yeye binafsi au hata kikundi chake hawana uwezo wa namna yoyote ya kutushikia chini na kuturudisha nyuma kidemokrasia kwa masilahi yao , hilo halitawezekana hata kwa namna gani .
Una maana m\slahi ya ccm au watanzania
 
Sio ajabu upo nyumbani kwako chumba cha ndani kabisa unatetemeka unaandika huu uduvi.
Watanzania wanapiga kazi we kaandamane utarukishwa kichura chura mpaka new year ijayo.
Endelea kujifaragua utaenda kuwa roommate wa Mbowe pale segerea.
USIKU MWEMA.
Wewe endelea tu kumuunga mkono huyo Jiwe wako ambaye ameamua "kuisigina" Katiba ya nchi na kuyageuza matamko yake ya majukwaani kuwa ndiyo sheria ambazo zinapaswa kufuatwa na wateule wake Polisi+maDC&maRC

Hata hivyo hao ni watumishi wa Umna na siyo watumishi wa CCM!

Na huo ndiyo ukweli mchungu
 
Popote ulipo , uwe unakunywa pombe, , supu , soda au maji ama uwe unakula chochote au uwe umepumzika tu , hapo ulipo tambua kwamba kwa sasa nchi yako ya Tanzania iko kwenye mapambano ya kuhakikisha demokrasia iliyotafutwa kwa udi na uvumba inalindwa kwa gharama yoyote .

Mwaka 1992 nchi hii iliingia rasmi kwenye mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ili kwenda sawa na ulimwengu wa kisasa na kuachana na ukiritimba wa chama kimoja , kwa lengo la kuwezesha watanzania wengi kushiriki siasa za nchi yao kwa kuleta mawazo tofauti yatakayoweza kuipeleka nchi yetu mbele inapostahili kuwepo , sheria ya vyama vya siasa ikawekwa ili kuwezesha mchakato huo unaotrend kwenye dunia ya kileo , Vyama vipya vikasajiliwa rasmi .

Kwahiyo kwa namna yoyote ile mtu binafsi hata awe na mapembe ya chuma , yeye binafsi au hata kikundi chake hawana uwezo wa namna yoyote ile ya kutushikia chini na kuturudisha nyuma kidemokrasia kwa masilahi yao , hilo halitawezekana hata kwa namna gani .

Kwahiyo kila mwananchi wa Tanzania aliye hai na mwenye akili timamu na anayemuogopa Mungu ni wakati wake sasa wa kufanya IBADA YA KUMTOLEA MUNGU SADAKA YA KUPIGANIA NA KULINDA DEMOKRASIA ILIYOWEKWA NA WAZEE WETU WAKIWA NA AKILI TIMAMU .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Tatizo lenu ni waoga... Kina carl max hawakuwa waoga hivo mkuu. Democrasia ni gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unaamimi kabisa kila mtz anasoma huu upuuzi wa ufipa.
 
Sio ajabu upo nyumbani kwako chumba cha ndani kabisa unatetemeka unaandika huu uduvi.
Watanzania wanapiga kazi we kaandamane utarukishwa kichura chura mpaka new year ijayo.
Endelea kujifaragua utaenda kuwa roommate wa Mbowe pale segerea.
USIKU MWEMA.
Acha mikwara showga wa kihindi wewe
 
Back
Top Bottom