Kumekucha: Maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Dodoma

Miaka na miaka hawamalizagi tu kuzungumizia hiyo miradi? Ohhh usanifu, mara upembuzi chokonozi....


Weka hapo chimba mitaro na mabomba peleka maji...

Wanasiasa uchwara hawa!! Blah blah...
 
Mzee mi nimeongelea Magu haina maji, huenda sio kipaombele chao... tumezoea kujichotea maji ziwani kwa baiskeli na tolori.

Kama mradi huu umefika Tabora, mbona hii taarifa haisemi kuwa wanatoa Tabora kuelekea Dodoma.?
Master plan yao wanayatoa Igunga kuyaingiza Singida, Igunga tayari yashafika.
 
Back
Top Bottom