livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,925
- 5,528
Ni fursa hizo kwa vijana, piga kazi kuuzia maji hao wavivu.... mnalialia ajira bado mletewe maji hadi ndani.!
Naona muda wa lunch unautumia kuleta pumba apa, kula kwanza ushibe utapata cha kuandika