KUMEKUCHA: Majaji wa Mahakama ya ICC wamruhusu Mwendesha Mashtaka aanze kuchunguza makosa ya jinai nchini Burundi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
pr1328.jpg

Majaji Chang-ho Chung, Antoine Kesia-Mbe Mindua na Raul C. Pangalangan wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kivita ICC wamemruhusu Mwendesha Mashtaka aanze kuchunguza makosa ya jinai yaliyofanywa nchini Burundi na nje ya nchi hiyo.

> Uchunguzi huu unahusisha matukio kuanzia Aprili 26 mwaka 2015 mpaka 26 mwezi Oktoba mwaka 2017.

> Majaji hao wanasema wamebaini kuwa wanauwezo wa kuchunguza matukio hayo ambayo yalitendwa wakati taifa hilo la Burundi likiwa mwanachama wa makubaliano ya Roma waliyoyasaini mwezi Disemba 1 mwaka 2004 kabla ya kutangaza kujiondoa Oktoba 27 mwaka huu(2017).

======
Today, 9 November 2017, Pre-Trial Chamber III of the International Criminal Court ("ICC" or "Court"), composed of Judges Chang-ho Chung (Presiding Judge), Antoine Kesia-Mbe Mindua and Raul C. Pangalangan, issued a public redacted version of its decision authorising the ICC Prosecutor to open an investigation regarding crimes within the jurisdiction of the Court allegedly committed in Burundi or by nationals of Burundi outside Burundi since 26 April 2015 until 26 October 2017. The Prosecutor is authorised to extend her investigation to crimes which were committed before 26 April 2015 or continue after 26 October 2017 if certain legal requirements are met.

The decision was first issued under seal on 25 October 2017. The Chamber accepted, exceptionally, after ordering the Prosecutor to provide additional information, to conduct the authorisation proceedings under seal and only with the participation of the Prosecutor, in order to attenuate risks to the life and well-being of victims and potential witnesses.

The Prosecutor was in addition exceptionally granted a limited delay of 10 working days in notifying the initiation of the investigation to States normally exercising jurisdiction over the alleged crimes in order to prepare and implement protective measures for victims and potential witnesses to mitigate the potential risks.

The Pre-Trial Chamber found that the Court has jurisdiction over crimes allegedly committed while Burundi was a State party to the ICC Rome Statute. Burundi was a State Party from the moment the Rome Statute entered into effect for Burundi (1 December 2004) until the end of the one-year interval since the notification of Burundi's withdrawal (26 October 2017).

The withdrawal became effective on 27 October 2017. Accordingly, the Court retains jurisdiction over any crime within its jurisdiction up to and including 26 October 2017, regardless of Burundi's withdrawal. As a consequence, the Court may exercise its jurisdiction even after the withdrawal became effective for Burundi as long as the investigation or prosecution relate to the crimes allegedly committed during the time Burundi was a State Party to the Rome Statute. Moreover, Burundi has a duty to cooperate with the Court for the purpose of this investigation since the investigation was authorised on 25 October 2017, prior to the date on which the withdrawal became effective for Burundi.

This obligation to cooperate remains in effect for as long as the investigation lasts and encompasses any proceedings resulting from the investigation. Burundi accepted those obligations when ratifying the Rome Statute.

Pre-Trial Chamber III, considered that the supporting materials presented by the ICC Prosecutor, including victims' communications submitted to the Prosecutor, offer a reasonable basis to proceed with an investigation in relation to crimes against humanity, including: a) murder and attempted murder; b) imprisonment or severe deprivation of liberty; c) torture; d) rape; e) enforced disappearance and f) persecution, allegedly committed in Burundi, and in certain instances outside of the country by nationals of Burundi, since at least 26 April 2015.

The Chamber noted that, according to estimates, at least 1,200 persons were allegedly killed, thousands illegally detained, thousands reportedly tortured, and hundreds disappeared. The alleged acts of violence have reportedly resulted in the displacement of 413,490 persons between April 2015 and May 2017.

The crimes were allegedly committed by State agents and other groups implementing State policies, including the Burundian National Police, national intelligence service, and units of the Burundian army, operating largely through parallel chains of command, together with members of the youth wing of the ruling party, known as the "Imbonerakure".

The ICC Prosecutor is not restricted to the incidents and crimes described in the decision but may, on the basis of the evidence, extend her investigation to other crimes against humanity or other crimes within the jurisdiction of the Court (i.e. genocide or war crimes), as long as she remains within the parameters of the authorised investigation.

Lastly, the Chamber noted that, according to available information, the Burundian authorities have remained inactive in relation to potential cases arising out of the situation in Burundi. Despite the establishment of three commissions of inquiry and certain proceedings before domestic courts, the Chamber found that these steps were either deficient or did not concern the same persons or the same crimes that are likely to be the focus of an ICC investigation. Accordingly, there is no conflict of jurisdiction between the Court and Burundi.

The Office of the Prosecutor will collect the necessary evidence from a variety of reliable sources, independently, impartially, and objectively. The investigation can take as long as needed to gather the required evidence. If sufficient evidence would be collected to establish that specific individuals bear criminal responsibility, the Prosecutor would then request Judges of Pre-Trial Chamber III to issue either summonses to appear or warrants of arrest.

Public Redacted Version of "Decision Pursuant to Article 15 of the Rome Statute on the Authorization of an Investigation into the Situation in the Republic of Burundi"

Note: The French translation of the decision will be available on 1 December 2017 at the latest

Questions and Answers document

"Ask the Court" Audio-visual programme:

YouTube (for viewing)

Video (MPEG-4) for download

Audio (MPEG-3) for download
 
Waache ujinga wao waende Usa
huko kuna majitu yanauwa watu
kwa bunduki waende Afghanistan
Syria Iraq kuna jamaa moja Usa kila siku linauwa watu wengi tu mbona hachunguzwi waache upumbavu wao
 
Waache ujinga wao waende Usa
huko kuna majitu yanauwa watu
kwa bunduki waende Afghanistan
Syria Iraq kuna jamaa moja Usa kila siku linauwa watu wengi tu mbona hachunguzwi waache upumbavu wao
Nyie CCM tulia sindano iwaingie hayo ya USA na SYRIA sisi hayatuhusu.Africa bila icc tutachinjana kama kuku,burundi walivyojitoa uanachama vijana wa lumumba mlifurahai sana, leo nkurunzinza amerudiwa tena na safari hii achomoki ata kwa dawa.
 
ICC na wazungu koko, waache unafiki.

Waende wakamkamate Obama, Bush na viongozi waandamizi wa NATO hao mbona wamekili kwa vinywa vyao kabisa kuwa walifanya makosa ya kivita kuwaua watu kama akina S Hussein, M. Gaddafi and the like halafu wanajitoa ufahamu kuwa Burundi ilikuwa mwanachama wao wa ICC kabla ya kujitoa!!.

Wazungu koko wote ni pathetic creatures kabisa.
 
birundi walijifanya kujitoa,huwezi kujitoa hivihivi,utaratibu ni mrefu na mgumu sana,burundi bado ni mwanachama na anawajibika kwa kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nkurunzinza jela inamhusu hawa jamaa hata ukiwa na miaka 75 wao wanakusomea tuu mashitaka ataenda tuu sio leo wala kesho yeye mwenyewe anajua ndio maana anajitoa ila wataalam wanakusomea mashtaka kwa kipindi ulichokuepo na uliua watu..
 
Siku wakimkamata Bush watakuwa wametenda haki Nicolas Sarkozy Tonny Blair hawa ndiyo wahalifu kuliko hata Nkurunzinza
 
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeeagiza Burundi kuchunguzwa kwa uhalifu dhidi ya binadamu
Hatua hii inafuata wiki chache tu baada ya nchi hiyo kujitoa kutoka kwenye mahakama hiyo
machafuko yalitokea mwaka 2015 baada ya Rais Pierre Nkurunzinza
Wapelelezi wa Umoja wa Mataifa wanasema kuna ushahidi kuwa uhalifu ulitendeka dhidi ya binadamu

Burundi ilijitoka kwenye mahakama ya ICC ikiituhumu imewalenga viongozi wa Afrika pekee

Msemaji mwanadamizi wa serikali ya Burundi amesema hatua ya mahakama hiyo ni juhudi za nchi za magharibi kuleta machafuko Afrika na serikali haina mpango wa kushirikiana na wachunguzi

====================================================

The International Criminal Court (ICC) has authorised prosecutors to open a full investigation into alleged crimes against humanity in Burundi.

The move comes just weeks after the country became the first member to withdraw from the international court.

Unrest broke out in Burundi in 2015 after President Pierre Nkurunziza decided to run for office a third time.

Rights groups say hundreds of people were killed. UN investigators say there is evidence of crimes against humanity.
they say have been committed largely by government forces - but also by opposition groups.

The UN report urged the ICC, based The Hague, to launch an inquiry.

In 2015 security forces launched a crackdown after major protests against President Nkurunziza's decision to stand for re-election. Groups disagreed over whether the candidacy was constitutional.
and thousands had been illegally detained and tortured.

As many as 400,000 people may have been displaced in the violence, it said.

Burundi withdrew from the ICC on 27 October after accusing the court of deliberately targeting Africans for prosecution. The African Union called for a mass withdrawal of member states in February over the issue.

The international court insists it "retains jurisdiction" to investigate and prosecute any alleged crimes on the continent.

But the case of Sudan's President Omar al-Bashir, one of the ICC's "most wanted", has highlighted the difficulty of getting a non-member to co-operate in surrendering suspects.

Responding to news of the ICC case, a senior Burundian presidential spokesperson accused the court of "outrageous lies to implement Westerners' hidden agenda to destabilize Africa".

The country's justice minister, Laurentine Kanyana, called the court's decision a "fraud".

She said her government had no intention of co-operating with the investigation.

Source: BBC
 
Hayo ndio maamuzi magumu. Umasikini ni mbaya sana, tunaingia kwenye mikataba kandamizi kutokana na umasikini. "Nachukia umaskini" by E. Lowassa. Sasa hao jamaa wamejitoa ICC wanataka kuwachunguza ili wagundue nini?
Afrika demokrasia yetu bado sana....
 
Hayo ndio maamuzi magumu. Umasikini ni mbaya sana, tunaingia kwenye mikataba kandamizi kutokana na umasikini. "Nachukia umaskini" by E. Lowassa. Sasa hao jamaa wamejitoa ICC wanataka kuwachunguza ili wagundue nini?
Afrika demokrasia yetu bado sana....
Kitu kimoja unachotakiwa kuelewa ni kuwa ICC ipo kwa ajili ya kulinda haki za binadamu kimataifa dhidi ya ukatili wowote, ama kutoka serikali yao, upinzani au hata nchi jirani. Hii imekomesha sana udikteta duniani mana hao madikteta ndo inawataka sana. Nchi nyingi za kiafrika zinaipinga ICC kwa maslahi ya viongozi wao wa kidikteta na ukiangalia vizuri hii mahakama haijalenga Afrika pekee, rejea hukumu zilizotolewa dhidi ya viongozi wa Kosovo, Bosnia and Herzegovina na nyingine za America ya kusini.
Tatizo viongozi wa kiafrika wanataka kutawala milele, wananchi wakipinga wanauwawa mamia kwa maelfu. Sasa unafikiri viongozi kama hawa watachukuliwa hatua wapi na nani? Ni ICC tu ndo dawa yao, vinginevyo wangeua watu wengi sana kwenye nchi zao ila wanaogopa hati za mashtaka kutoka the Hague.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kitu kimoja unachotakiwa kuelewa ni kuwa ICC ipo kwa ajili ya kulinda haki za binadamu kimataifa dhidi ya ukatili wowote, ama kutoka serikali yao, upinzani au hata nchi jirani. Hii imekomesha sana udikteta duniani mana hao madikteta ndo inawataka sana. Nchi nyingi za kiafrika zinaipinga ICC kwa maslahi ya viongozi wao wa kidikteta na ukiangalia vizuri hii mahakama haijalenga Afrika pekee, rejea hukumu zilizotolewa dhidi ya viongozi wa Kosovo, Bosnia and Herzegovina na nyingine za America ya kusini.
Tatizo viongozi wa kiafrika wanataka kutawala milele, wananchi wakipinga wanauwawa mamia kwa maelfu. Sasa unafikiri viongozi kama hawa watachukuliwa hatua wapi na nani? Ni ICC tu ndo dawa yao, vinginevyo wangeua watu wengi sana kwenye nchi zao ila wanaogopa hati za mashtaka kutoka the Hague.

Kwa hiyo huo ukatili dhidi ya binaadamu unafanywa na viongozi wa Kiafrika pekee.....!!!?

Vipi kuhusu Marekani na mashambulizi yake huko mashariki ya kati dhidi ya raia huku wakisema bahati mbaya.....

Vipi Russia na makombora yake huko Syria na mengine yakiwa ya sumu....je wanaoangamia sio binaadamu....au kuna binaadamu wa aina mbili....!!!?

Vipi kuhusu Obama kukiri kushambulia kimakosa Iraq....hatua gani zimefuata dhidi ya Bush....!!?

Je kukiri huko kutarudisha maisha ya watu waliopoteza uhai wao bila hatia.....kutawarudishia mayatima wazazi wao.....kutawarudishia walemavu viungo vyao......

Kama ICC inasimamia haki za binaadamu basi zisimamie kwa usawa na sio kwa dabo standard.......

608e85bff5813ce51286f2b3c04d4a0a.jpg
2f2a74dac0d44625615efb3fec4e3d37.jpg
712fe330beb192383e127c993f1ee1d7.jpg
cef6d0c3fda17a11292c06ff245be3dc.jpg
a911423319fd93e03e353e634d12f6b6.jpg
3f95fbddf74af318fec7509be79ab20d.jpg
f3063e7519982c1eda41d0e2dd365ce2.jpg
a3a81c8bdfdce0e426d3508847d3bf47.jpg
8ea92970db93dae45536995f6957a361.jpg
 
Kitu kimoja unachotakiwa kuelewa ni kuwa ICC ipo kwa ajili ya kulinda haki za binadamu kimataifa dhidi ya ukatili wowote, ama kutoka serikali yao, upinzani au hata nchi jirani. Hii imekomesha sana udikteta duniani mana hao madikteta ndo inawataka sana. Nchi nyingi za kiafrika zinaipinga ICC kwa maslahi ya viongozi wao wa kidikteta na ukiangalia vizuri hii mahakama haijalenga Afrika pekee, rejea hukumu zilizotolewa dhidi ya viongozi wa Kosovo, Bosnia and Herzegovina na nyingine za America ya kusini.
Tatizo viongozi wa kiafrika wanataka kutawala milele, wananchi wakipinga wanauwawa mamia kwa maelfu. Sasa unafikiri viongozi kama hawa watachukuliwa hatua wapi na nani? Ni ICC tu ndo dawa yao, vinginevyo wangeua watu wengi sana kwenye nchi zao ila wanaogopa hati za mashtaka kutoka the Hague.
Waafrica tunasafari ndefu sana maana tumeshakuwa watumwa kiakili..

Ni lini ICC waliichunguza USA dhidi ya mauaji ya watu wasio na hatia Iraq?, ICC waliichunguza lini USA dhidi ya mauaji ya watu Afghanistan, ICC iliichunguza lini USA na Russia dhidi ya mauaji ya watu syria?
ICC waliichunguza lini mataifa ya NATO dhidi ya maujai ya watu Libya?

Acheni kuwa watumwa Wa akili
 
Hayo ndio maamuzi magumu. Umasikini ni mbaya sana, tunaingia kwenye mikataba kandamizi kutokana na umasikini. "Nachukia umaskini" by E. Lowassa. Sasa hao jamaa wamejitoa ICC wanataka kuwachunguza ili wagundue nini?
Afrika demokrasia yetu bado sana....
Ndo umeandika madudu gani sasa ndugu yangu ulifikiria ama ndo umekarirri wanavyoandika wengine kwahyo kilichofanyika burundi kwako ni sawa tu
 
Back
Top Bottom