Kumekucha mahakama Kuu ya Arusha, wafungwa wagoma kushuka mpk kieleweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumekucha mahakama Kuu ya Arusha, wafungwa wagoma kushuka mpk kieleweke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Jul 25, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hali ninayoiona hapa mahakama kuu ni kwamba wafungwa wote wamegoma kushuka kwenye karandinga lile la police. Na wanacholenga ni kutaka haki yao isikilizwe. Na wanataka mwandishi wa habari aletwe waweze kueleza haki yao. Nipo hapa mahakamani na nitawajuza.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Na hii ndio tz,......hakuna haki kila sehemu
   
 3. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "Ukiona moshi unafuka basi ujue panaungua."
  Unajua mimi nahisi Tanzania ni sinema inaandaliwa na washiriki(cast members) ni watanzania wote huku vinara(superstars) wakiwa viongozi wetu hawa malimbukeni.Kila kukicha scripts(matatizo) yanafumuka na kurekodiwa ili kuijaza hii filamu.Mara tatizo la umeme, mara wafungwa wamegoma ,mara wanajivua magamba.Jamani nguvu ya umma ni mimi na wewe mtanzania mwenzangu uliyechoshwa na hii filamu.Tuanze mapambano mpaka kieleweke.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  dU!
  Wengi wao watakuwa madereva wa vifodi ambao waliswekwa majuzi!
  Mfumo mzima wa Utawala na Uendeshaji majukumu katika mji wa Arusha una mushkeli!
  Hawana pa kuiga, maana baba yao ndiyo hoi taaban!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hata mvua imegoma kunyesha.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Best yani acha tu!
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapa naona wameita landrover na imeiescot ile karandinga na wafungwa wanaelekea mahakama ya wilaya pale Arumeru kutoka hapa mahakama kuu si mbali sana na sitatoka hapa mpaka nijuwe haki ya hawa wafungwa itakuwa vipi. Mmmmhh!
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkuu tulirushie na picha kwa ajili ya kumbukumbu!! Hayo ndiyo madhara ya siasa mbele profesionalism nyuma. Kuna watu wanasota kusomea hizo kazi za mahakama au kulinda wafungwa, lakini kwa vile Tz kila kitu siasa hawa watu hawana thamani tena na hii nchi haiwahitaji.
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkuu! Hapa na2mia Nokia N73 inapiga kweli picha nzuri lkn nimeshindwa kuaploading.
   
 10. D

  Derimto JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi jamani wengine tunasubiri nini twendeni tujiunge nao sio mpaka chadema waseme ndiyo tuanzie hapo huenda ndiyo wakati wenyewe sasa LET US JOIN NOW BILA KUJALI ITIKADI NA TOFAUTI ZETU
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mpaka sasa karandinga linaelekea Kisongo gerezani. Na hakika hata wale wafungwa (MAABUSU) wa wilayani pale Arumeru wamegoma kuteremka na wameapa ya kwamba watahakikisha hata kesho na kesho kutwa na kuendelea hakuna mfungwa yeyote atakayeletwa hapa mahakamani na akateremka kwenye gari mpaka haki yao ionekane na ni kwmb wanataka wote waliopo humo gerezani kwa miaka sasa,haki zao isikilizwe siyo m2 anakaa tangu 2004 mpk leo kesi inapigwa kalenda mpk 2011,Wameapa hakunaga tena m2 wa kudanganywa ktk dunia hii.
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nchi hii kila kitu lazima ukipiganie hata kama ni haki yako. Itafikia wakati sasa Hata umeme uumpiganie
   
 13. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Mimi nikiona hivi ninapata faraja kwa maana saa ya ukombozi ndo inakaribia. Sehemu zote ambako, kumetokea mapinduzi ya tawala dhalimu, mabo yalianza hivihivi, na ninachokiona we are moving on the same track. So dear fellow Tanzanians, msife Moyo wakati wa ukombozi ukaribu, Dalili zote zi wazi, ikiwemo viongozi kulewa madaraka kupita kiasi, Viongozi kuchanganyana waokwa wao na kuitana magamba, hali ngumu ya maisha kwa majority of the citizens, Viongozi kutoa kauli zisizokuwa na hata chembe ya hekima na kuonyesha kujali matatizo ya wananchi e.g Mimi siwezi kumwambia mungu anyeshe mvua ili tupate Umeme!! N.K
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nchi ya kitu kidogo!
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  yaani wana kera kweli...
   
 16. D

  Derimto JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na bado siku siyo nyingi atampigia Mungu magoti akimwomba anyeshe mvua na atakuwa na adabu kwa muumba ngoja watu tuungane na kuwa kitu kimoja
   
 17. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  raia wakigoma huwa wanakamatwa na kupeekwa mahabusu, sasa je mahabusu wakigoma wanapelekwa wapi?
   
Loading...