Kumekucha: Maalim Seif amuomba CAG kufanya Ukaguzi Maalum kwa fedha za ruzuku ya CUF alizolipwa Lipumba na bodi yake feki

Hoja yako haina uhusiano na majibu ya mahakama, ndio maana mna fail, nahisi itakuwa la saba
Huyu jamaa huwa simuelewi kabisaa.
Maalim Seif ndio chanzo cha Aboud Jumbe (God rest his soul) kufungwa kizuizini maisha yake yote hadi mauti ulipomkuta Kigamboni, kichekesho ni kuwa baada ya kutoswa Urais wa Zanzibar akaanza harakati zile zile za Aboud Jumbe.
Jamaa hafai kabisa na hata alivoingizwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa alifanya nini zaidi ya kufurahia ving'ora?
Alifika mahali anadai yeye haitambui serikali ya Rais Shein lakini anataka atambulike kama Makamo wa Rais Shein.
Aibu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano Mkuu wa chama cha CUF ndio unatakiwa uitishe huo ukaguzi Seif Sharif Hamad hana mamlaka hayo !! Mwenyekiti wa CUF Taifa ndie anatakiwa aitishe mkutano Mkuu wapitishe hiyo agenda na kuidhinisha fungu la pesa la kumlipa CAG kufanya hiyo Special Audit.Seif hana ubavu wa kuitisha special audit ya chama hiyo kuitisha inahitaji resolution ya mkutano Mkuu wa CUF taifa
Tuliza mshono then see what happens

Sent using Sukhoi Su-57
 
Huyu jamaa huwa simuelewi kabisaa.
Maalim Seif ndio chanzo cha Aboud Jumbe (God rest his soul) kufungwa kizuizini maisha yake yote hadi mauti ulipomkuta Kigamboni, kichekesho ni kuwa baada ya kutoswa Urais wa Zanzibar akaanza harakati zile zile za Aboud Jumbe.
Jamaa hafai kabisa na hata alivoingizwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa alifanya nini zaidi ya kufurahia ving'ora?
Alifika mahali anadai yeye haitambui serikali ya Rais Shein lakini anataka atambulike kama Makamo wa Rais Shein.
Aibu tupu.

Ficha chuki zako mbele ya wenzio, Zitakuua mkuu
 
Ukiwa mtumishi ni vema kufuata sheria za nchi jiadhari ukiambiwa na waliojuu yako ukiuke sheria ,kanuni na taratibu zilizowekwa siku wakiondoka ujuwe kosa la jinai haina kikomo ipo siku utaletwa balazani utahukumiwa kwa kufunja sheria wale uliowategemea hawatakuwa na uwezo wa kukutetea.
 
Nimekupa hint nenda kachimbue mkuu
Mi sina chuku na mtu, nafatilia haya mambo ya siasa ila sina chama wala upande wowote

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kweli huna chuki tusengeliona kauli uliyotoa.

Hata kama kweli alimuuza Jumbe je kama binaadamu hawezi kubadilika akawa na msimamo mwengine badala ya ule aliokua nao mwanzo? sasa kwanini muendelee kumshutumu mtu kwa kitu ambacho alikifanya miaka karibu 40 nyuma wakti msimamo wake wa sasa na kile kitu na tafauti kabisa?
Na chaajabu hao wanaoyasema hayo wakionyesha kama vile waumemia na kitendo kilichotokea mbona hawaoneshi kama wao wanasopoti lile azimio la Jumbe? Jumbe alitaka serekali 3, sasa hao wanapiga porojo mbona wao hawazitaki?
Na je kwani alilifanya peke yake? mbona wenziwe hamuwataji? na ndiomana nikasema ni chuki ndio zinazokusumbueni.
 
Ni mtazamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom