Kumekucha: Maalim Seif amuomba CAG kufanya Ukaguzi Maalum kwa fedha za ruzuku ya CUF alizolipwa Lipumba na bodi yake feki

Mkutano Mkuu wa chama cha CUF ndio unatakiwa uitishe huo ukaguzi Seif Sharif Hamad hana mamlaka hayo !! Mwenyekiti wa CUF Taifa ndie anatakiwa aitishe mkutano Mkuu wapitishe hiyo agenda na kuidhinisha fungu la pesa la kumlipa CAG kufanya hiyo Special Audit.Seif hana ubavu wa kuitisha special audit ya chama hiyo kuitisha inahitaji resolution ya mkutano Mkuu wa CUF taifa
 
Alafu mbona mnaamisha magoli katika hii kesi hakuna mshindi
alichosema judge bodi ya wadhamini iliyoundwa na lipumba ilikiuka sheria ya 26 kifungu kidogo cha 17
Uundwaji wa bodi ya wadhamini wa chama sheria inataka msajili asimamie zoezi kwa sababu lipumba hakufanya hivyo bodi yake imetenguliwa na judge ameitaka cuf ifuhate proces za kikatiba na matakwa ya kisheria na kisha waunde bodi upya nyinyi hapa mnashangilia nini?

Pili ,,huu ni mtego kwenu timu seif
Kama katika ili mnatambua mamlaka na usimamizi wa msajili wa vyama vya siasa,, hapa leo mnassuport kama sheria zilikiukwa kwa kukosa msimamizi kutoka ofisi ya msajili

Kesi yenu ya Ijumaa tarehe 22
Uwarali wa lipumba katika nafasi ya uwenyekiti mpira utarudishwa tena kwa msajili
Kama leo mnakubali mamlaka ya msajili basi na Ijumaa mkubali hukumu kwamba lipumba bado ni mwenyekiti wa chama taifa kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo msajili ya kumtambua lipumba kama mwenyekiti harali wa cuf kwa mujibu wa katiba
huku mmepulizwa kule mtang'atwa...mjiandae kisaikolojia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyempa ruzuku lipumba ni lazima aitapike .
 
Mkutano Mkuu wa chama cha CUF ndio unatakiwa uitishe huo ukaguzi Seif Sharif Hamad hana mamlaka hayo !! Mwenyekiti wa CUF Taifa ndie anatakiwa aitishe mkutano Mkuu wapitishe hiyo agenda na kuidhinisha fungu la pesa la kumlipa CAG kufanya hiyo Special Audit.Seif hana ubavu wa kuitisha special audit ya chama hiyo kuitisha inahitaji resolution ya mkutano Mkuu wa CUF taifa
uko upande wa shetani , hutaweza kushinda
 
Bodi mpya inatakiwa kuundwa ya Maalim Seif ilishamaliza muda kitambo kirefu.Jaji anataka bodi mpya hiyo kuundwa mkutano Mkuu hauepukiki bodi mpya ni mkutano Mkuu ndio wenye uwezo wa kuweka bodi mpya Lipumba mwenyekiti Taifa ndio mwenye ubavu huo wa kuuitusha huo mkutano Mkuu.
 
Bodi mpya inatakiwa kuundwa ya Maalim Seif ilishamaliza muda kitambo kirefu.Jaji anataka bodi mpya hiyo kuundwa mkutano Mkuu hauepukiki bodi mpya ni mkutano Mkuu ndio wenye uwezo wa kuswekwa.Lipumba mwenyekiti Taifa ndio mwenye ubavu huo wa kuuitusha
uenyekiti feki wa Lipumba mwisho kesho kutwa , hii ni baada ya mil 300 kushtukiwa na awe tayari kutapika ruzuku yote ya cuf aliyokula kwa kushirikiana na tapeli mwenzie Mutungi
 
Jaji anacheza na akili za watu wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri mambo makubwa ya kesho,,
Kitendo tu cha kuwaingiza chaka na nyie kama mazuzu mnakurupuka mnashangilia
Leo mmetambua nguvu na mamlaka ya msajili
Ijumaa mje tena humu mtambue nguvu na mamlaka ya msajili mtakapo somewa hukumu inayotambua mamlaka ya msajili kumtambua lipumba ndio mwenyekiti wa cuf Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka inakwenda pamoja na snema,,kila wiki snema mpya,,!!
zinawekwa pendind baada ya muda zinarudishwa tena,,,mpaka mvi zinaota,,,snema weee snema,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ijumaa ndiyo kesi yenyewe kama Lipumba ni Mwenyekiti halali wa CUF au la!
CUF inaponywa au inazorora zaidi Ijumaa hii lkn dalili ni nzuri sana kwa Maalim

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kulikuwa na uchafu wa milion 300 ambao wasamalia wema waliustukia na wakaamua kuuweka hadharani , hii yaweza kuchangia haki kupatikana
 
Back
Top Bottom