Usiombe yatokeee kila kitu kitasimama kuanzia bei ya mafuta yatapanda maradufuMbona game alianzi kila siku habari ndio hizi hizi
Kule vitani tuwapeleke kina Mshana jr.Mzizi Mkavu na vigagula wengine ili nchi tutakayokubaliana nayo tuingie nayo mkataba wa kuroga maadui mpaka wakome,tunatengeneza vita ya maji maji amaizing.tutapiga noti hijapata wahi ona toka dunia imeumbwahii itasaidia vipi uchumi wetu uweze kupanuka?
Ni nchi chache sana zenye uwezo au zana za kudetect subs kwa Africa nadhan itakua South Africa na Misri. Kwa nchi hiz nyngne km zetu inaweza ikakaa hata mwaka na tusiigundue labda wavuvi waivue kwa bahat mbyakuna sehemu nimesoma kuwa haya madude manyambizi ya mmarekani,mengi ni stealth mode kwa maana hiyo sio rahisi kuyaona ktk radar za kijeshi.
mngurumo wake ni wa kimya kimya na kwa siri kubwa.
hata likikatiza mita chache kutoka kwa ilipo kambi ya jeshi letu la maji pale kigamboni,sio rahisi kugundua.
sasa kwa nyinyi mnaombeza mmarekani,mjiulize lile nyambizi limekwepa mitego mingapi ya maadui tokea siku linaanza safari yake marekani mpaka leo kuibukia korea?mkipata jibu,mtumieni mnyoa kiduku kwa njia ya "wasapu".
Ingekuwa vema kama angeonja maumivu kiasi chake..!Unajua U.S hajawahi kuhisi maumivu ya machafuko kama anavyo wafanyia nchi za kiarabu......i wish itokee kwa raia wake ndio atauona moto.
Kesha kwambia yy C mwarabuMmarekani huwa haogopi kama wengi mnavyodhani jamaa huwa anajifanya kama mwoga kumbe shida yake ni kukuondoa kwenye tension then utashangaa siku anakupiga kwa kushtukiza na hautoamini
Mfano mzuri ni kule syiria kunakipindi mmarekani alionekana kushindwa lakini juzi kamchapa assad na huyo puttin kakaa kimya
Hata wakt wa Syria ilikua hvyo lkn aliposhambulia walimpongeza na nchi km Turkey kujitolea kuunga mkono operation yyte ambayo US ingetaka kufanya ndan ya Syria.Kesha kwambia yy C mwarabu
kuchelewa kwa hili picha
jamaa kichwa kinauma kumbuka IS wanajipanga washirika wanajitenga
Umerogwa Kinana kwa hiyo ukristo ushaamini umeshikwa na USA tafuta dini mapema kabla chance hazija jaa Kiduku number mbayaKuna watu wamejazwa chuki miskitini kuihusu marekani. Kwa ujinga wao ndio hao hao wanaoamini korea kaskazin anaweza akampiga mmrekani kweli? Hivi mnaakili?
No us No Jews without Jews No Christian I catch ur pointMimi ni team US.
Nasubiri mtanange uanze.
The reasons why I support America are in my pocket
Maana daily anawabutua waarabu wanakufa maelfu lakini yeye nyumbane kwake raia they enjoy life vizuri......i wish naye aje aonjeshwe hayo maisha.Ingekuwa vema kama angeonja maumivu kiasi chake..!
Bora Sizonje apumzike!Hii nayo imekuwa movie sasa!! Inaenda kwa series kama gvt ya sizonje...
Miaka 50..!?
Wanasafiri kama wana wa Israel kutoka Misri! Miaka 40!
Hivi mkuu viroba vinapatikania wapikuna sehemu nimesoma kuwa haya madude manyambizi ya mmarekani,mengi ni stealth mode kwa maana hiyo sio rahisi kuyaona ktk radar za kijeshi.
mngurumo wake ni wa kimya kimya na kwa siri kubwa.
hata likikatiza mita chache kutoka kwa ilipo kambi ya jeshi letu la maji pale kigamboni,sio rahisi kugundua.
sasa kwa nyinyi mnaombeza mmarekani,mjiulize lile nyambizi limekwepa mitego mingapi ya maadui tokea siku linaanza safari yake marekani mpaka leo kuibukia korea?mkipata jibu,mtumieni mnyoa kiduku kwa njia ya "wasapu".