Kumekucha Korea, nyambizi kubwa ya mmarekani yawasili

Kwa sasa USA wanataka "peaceful denuclearization" of the Korean peninsula! Yaani kwa sasa marekani wanahitaji "njia za amani" za kuondoa silaha za nuklia kwenye rasi ya Korea (wakimaanisha Korea ya kaskazini maana ndo mwenye nazo).
Sasa jiulize kwa nini Leo anataka njia za amani? Si alikuwa anatamba kwa kuanza mazoezi ya kivita na vitisho chungu mzima!
Jibu ni rahisi! keshaona NK ni MAJI marefu si kama Iraq, Libya au Syria!
Si suala LA kuingia kupiga! Ni suala LA kupigana! Sasa marekani ni waoga sana! Anataka kupiga lakini hataki hata kuchubuliwa tu! Kwa maana hiyo hawezi kabisa kusogeza pua yake Korea ya kaskazini!
 
Nina uhakika amaerika will going to beat north korea all in all we waiting for senete decision after the serious meeting whitehouse
Maseneta baada ya kupewa ukweli wa kijasusi kuhusu uwezo wa kivita wa Korea ya kaskazini wameshaingia baridi kama ambavyo wengi tulitegemea. Uamuzi wao kwa mujibu wa BBC news huu hapa:
"The United States seeks stability and the peaceful denuclearisation of the Korean peninsula," said a joint statement issued by Secretary of State Rex Tillerson, Defense Secretary Jim Mattis and Director of National Intelligence Dan Coats.
Wameamua kutumia "peaceful denuclearization" of the Korean peninsula! Siyo "military option"! Si unakumbuka walikuwa wanadai "all aptions are on the table"! Sasa baada ya kikao cha kuelezana uhalisia wamechagua njia/option ya amani! Watatumia vikwazo vya kiuchumi!
Nchi ikishakuwa na mabomu ya nuklia kama Korea kaskazini haiwezi kupigika na mpigaji akabaki salama! Huo ndio ukweli ambao maseneta wa marekani wameambiana!
MTU akishakuwa na nuklia ni mkubwa mwenzio tayari huyo! Hapigiki tena, kama una ubavu mtapigana na madhara mtayapata wote!
 
Kuwa na akili wewe mpumbavu misikiti inahusika vipi na mashoga wamarekank
Huyo ni nguruwe kbs. Msikiti unahusika wapi na mambo hayo.. Kwani huku kanisani hamuongei ya wengine ? Masjid ni sehemu tukufu sio ya upuuzi wako. Koma kabisa. Hao wanaofanya kampeni ndoa za mashoga ndio unawaona wa maana ? Foolish.
 
Back
Top Bottom