Kumekucha kanda ya ziwa

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
762
772
Matokeo ya darasa la saba yametoka. Takwimu zinaonyesha kati ya wanafunzi 10 bora waliofaulu vizuri tisa kati yao wanatoka kanda ya ziwa. Kongole kwenu watu wa kanda ya ziwa kumbe kila kitu kinawezekana
C6285F83-A7B5-4DE8-A5F9-6AE406984ACF.png
 
Zamani tumezoea Daslam mara pwani sasa kibao kimebadilika. WAPI GILMAN RUTIHINDA PRIMARY SCHOOL au kweli miaka ile walikuwa wanapewa pepa
 
Matokeo ya darasa la saba yametoka. Takwimu zinaonyesha kati ya wanafunzi 10 bora waliofaulu vizuri tisa kati yao wanatoka kanda ya ziwa. Kongole kwenu watu wa kanda ya ziwa kumbe kila kitu kinawezekana
Juhudi za serikali ya awamu ya 5

Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Zamani tumezoea Daslam mara pwani sasa kibao kimebadilika. WAPI GILMAN RUTIHINDA PRIMARY SCHOOL au kweli miaka ile walikuwa wanapewa pepa
Dar tangu ipate mkuu wa mkoa sijui nani,elimu imeshuka kabisa naona nguvu kubwa ameelekeza kwenye maigizo na akina mama
 
Back
Top Bottom