Kumekucha jamani.....niseme nisiseme?

Ngoja nikusaidie kusema kuwa Membe amekubaliana na LOwa..saa..kuhamia CHAGA..DEMA kupepwrusha bendera ya urahisi. Hatua hii italeta uhai kwa ukawa kwani Membe atapata support ya familia ya msoga, prof Mwandosya, Lowassa na Mwinyi na Nape..Hata team hapa kazi tu watashida kwa ushindi mwembamba usiozidi 60%

Narudia tena kusema Kumekucha je niseme nisiseme? Nasubiri ruhusa yenu tafadhali.

Nawakilisha.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom