Kumekucha Israel Yaua tena Wairan licha ya Mkwara wao

hakuna sababu ya kupigana vita zaidi ya MASLAHI
... adui anayetangaza waziwazi ataifuta familia yako yote katika uso wa dunia ana-deploy mashoka, sime, mapanga, na silaha nyingine za kutosha mpakani na eneo/shamba lako; ungekuwa wewe, pengine na unyonge ulio nao, ungefanya nini?
 
Israel wanawapunguza tu Iran kidogo kidogo, soon utasikia Tehran moto mkubwa paaaap, pvmbv vipande vipande.. Iron dome ya Israel iko inazunguka kukinga virockets vya Hamas na pro Iran militias. Iran akae sawa atanyukwa subiri
 
Hiyo nchi unayoisifia we ukienda hawakutambui wanakuona nyani tu angalia hiyo link uone ndg zako wanavyonyanyaswa

Sijaona mjinga na kama wewe hapa hapa kwetu hujawahi kusikia kauli za mkuu wa mkoa Mbeya au viongozi wengine tena wateule kabisa Maneno yanayosema utadhani wamekatwa kichwa lakini wewe huoni hayo umeona na kusadiki maneno ya WAHAMIAJI HARAMU!!!!!
 
Wengedere endelea kushabikia hao mabwana zako
 
Kwan kama m2 ameweza kukupgia ugenn unazan atashndw kukupgia kwako nyumbn thnk twce
Usiropoke man.
Basi km hivyo Iran pia anaweza kumpiga Israel kwasababu amewahi mpiga Israel kupitia Hizbollah.
Nyumban nyumban ugenini ugenini.
Yeye analipua vikambi viduchu viduchu azame Iran aone nn atafanywa.
 
Israel wanawapunguza tu Iran kidogo kidogo, soon utasikia Tehran moto mkubwa paaaap, pvmbv vipande vipande.. Iron dome ya Israel iko inazunguka kukinga virockets vya Hamas na pro Iran militias. Iran akae sawa atanyukwa subiri
Ushasahau yale makombora ya Hizbollah yaliyotua mpaka wa Israel na kuumiza makamanda wa Israel ????
Hiyo iron dome ilikua wapi kuzuia??
 
Acha porojo mzee, hiyo link inaongelea mambo ya ubaguzi. Sisi tunajadili jinsi ambavyo syria na Iran wanavyojichanganywa kwa muisraeli. Atawanyonya hadi cerebral spinal fluid.
Hiyo nchi unayoisifia we ukienda hawakutambui wanakuona nyani tu angalia hiyo link uone ndg zako wanavyonyanyaswa
Ishu ya ubaguzi mbona ipo kila mahali huko mashariki ya kati, mbali na hilo ukiachana na Israel kuwabagua weusi, jamii ya warabu wamekuwa wakiwatesa watu weusi kwa ubaguzi huo huo. Kwahiyo nakuomba usitutoe kwenye mstari, acha iran watolewe marinda.
 
Kuisifia Israel ni sawa na sifa za kijinga. Israel ni mtoto wa U.S.A ,Hivyo ni mtumwa tu ni sawa na Punda anayebebeshwa Mizigo ili Bwana wake U.S.A aweze kufikia Malengo yake. Ila Russia ndio Mwanaume wa Kweli.
Kasome maandiko matakatifu ndio utaelewa vizuri mkuu au fanyaga kautafiti tafuta muisrael original ukae nae chini akupe histori yao hapo ndio utaelewa vizuri hao ni watu gani
 
Nampenda Israel sababu sio mwoga. Saudi kapigwa ila hajui afanye nini
Waache wachapwe,juzi hapo hezbollah wamewatungua Israel na wakajitapa kabisa ni wao,,sasa wanapewa kunde baba zao wao wanahara.
Tulisema hapa subirini kichapo.
Ndio hiyo muisrael anafanya tunampiga baba yako kwanza "Iran,Irak"we hezbollah utakutwa tu baada ya hapo ni kilio na kusaga meno Maana watetezi wenu wanakua washatulizwa.
NB:nawasikitikia sana wamama na watoto katika sakata hili.
 
Naona vita ya mabeberu,imeleta vita ya watawaliwa wa jiwe.Tuendelee kulima matikiti barabara rais wetu katuwekea safiiii
 
Israel is next level. Wana mbinu za kivita hatari.

Miaka ya 1970 huko waliagiza nyambizi 6 ufaransa. Baada ya kutengenezwa zikiwa zimekamilika wakaenda kuziiba. Baadae ikatumika diplomatic wakalipa pesa kama walivyokuwa wamekubaliana
Mshaanza mastory ya town
 
ndugu taarifa inasema wamekufa watu 10 ww kwa ushabiki maandaz wko unasema wamekufa 20 which is which,pia kumbuka siku zote mteni ni yule anayempiga mwanao akiwa nyumbani kwako na siyo kumvizia ukimtuma dukani ndo amtegee nyuki njiani.Kama kweli israel ni mwanaume arushe kombora pale Iran ili tumthibitishe ni mwamba
Huyo Iran unaemsifia hata kufika bahari ya Atlantic hawezi ana ujanja kwake hata kufika ulaya kijeshi hawezi. Sasa USA uko kwao kashazunguka nchi nzima ya Persian
 
Embu angalia izo military base zilivyozunguka iyo Iran. Kuna siku hawa waajemi tutakuja kuwasahau ktk ramani ya dunia
iran2.jpeg
 
Kama yeye angekuwa amekamilika angepigana kama inchi sio kutumia kikundi cha kigaidi yani hapo bado anaonesha udhaifu wake kwa kutumia kikundi cha kigaidi kupambana na israel

Back
Top Bottom