Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

Halafu huyu ndio anataka kuapmbana na Iran View attachment 1781775
IRON DOME
E1IYJ74XsAUVSTy.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wanachokoza moto wanaokufa ni wanawake na watoto
Hamas wenyew wako mafichoni kwenye mahandaki aseee
 
Ni kweli narudi tena.hao jamaa wapalestina kama hawatatumia busara soon itakuwa historia kwamba kulikuwa na taifa la palestina.
Mpaka sasa hakuna taifa la Palestina, taifa hilo ndio linaundwa huku wakitarajia Jerusamu iwe makao yao makuu ya nchi.

Nk
 
Ikija kutokea vita ya tatu ya dunia ndo utakua mwisho wa dunia hii wallahi maana makombora ya sasa hivi sio poa.
 

KAZI HIYO ....VIFUSI.WAGAZA wanapigiwa simu kabla ya majengo yao hayajafanywa vifusi.....Israel wastaarabu sana!!!​

IDF: Air and ground troops attacking in Gaza Strip​

Over 750 Hamas targets have been hit since the beginning of Operation Guardians of the Walls.​

By ANNA AHRONHEIM
MAY 14, 2021 00:55
1620946018651.png
 
BREAKING NEWS

Netanyahu: The operation will continue as long as necessary​

By ALON HACHMON/MAARIV ONLINE
MAY 14, 2021 00:51
Prime Minister Benjamin Netanyahu commented on the escalation in the campaign against Hamas, clarifying: "I said that we will exact a very heavy price from Hamas, we are doing this, and we will continue to do so.

"The last word has not been said, and this operation will continue as long as necessary."
 
Back
Top Bottom