Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

Sijui ndio hawa waliouwawa leo?
I oppose any ceasefire with Hamas in Gaza.

It is time to uproot terrorism once and for all. In a peaceful Middle East, there is no place for terrorism.
IDF: Spokesman
View attachment 1782889
PFLP Military Wing Abu Ali Mustafa Brigades announce they targeted a group of IDF vehicles with heavy mortar fire in retaliation for the death of one of their militants in the artillery brigade, Abdul Hamid Taima
 
Hebu tuma mkuu tuone

IMG_20210513_111329.jpg
 
Teravivu inawaka moto.
Alafu eti kila siku wanajisifu eti wana mifumo ya ulinzi isiyo shindika.
Kama viroketi vinavyo tengenezwa kienyeji vina penya na kushabisha maafa kama haya ,vipi yale makombora ambayo Iran iliyatumia kukishambulia na kukiharibu kituo cha kijeshi cha Marekani Teravivu si ingekuwa majivu.View attachment 1781858
Punguza upumbavu mkuu wanao umia ni wapalestina na ndo wanao lalamika
 
Kwahio kuswali mskitini ni chuki kwa Israil, em fuatilieni hii mikasa sio mnakaa chini ya keyboard mkitype kwa mihemuko
Narudia tena soon hata huo msikiti wapalestina wanaenda kuukosa kama hamna busura na kama mnaendea kushabikia ujinga wa jamaa zenu kamba vita ndo mkombozi wa taifa lao.
 
Wanaoumia zaidi ni Palestine.. Na ndiyo maana dunia inaililia..

Tusiongee kishabiki. Angalia athari, watu wengi wa Palestine ndiyo wamepoteza maisha kulinganisha na wale wa upande wa pili.

Mungu awanusuru..
 
Ni kweli narudi tena.hao jamaa wapalestina kama hawatatumia busara soon itakuwa historia kwamba kulikuwa na taifa la palestina.
Utarumiaje busara wakati unakaliwa kwenye ardhi yako kimabavu? Tokea 1945 iko hivyo na haitosha
 
Wanaoumia zaidi ni Palestine.. Na ndiyo maana dunia inaililia..

Tusiongee kishabiki. Angalia athari, watu wengi wa Palestine ndiyo wamepoteza maisha kulinganisha na wale wa upande wa pili.

Mungu awanusuru..
Ndio vita vilivyo, na hao wanaumia tokea 1945 hajaanza leo
 
Dozens of rockets were launched toward most of the cities and colonies in the central part and southern Palestine. Including Tel Aviv and Beersheeva
 
Back
Top Bottom