Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

Halafu eti anataka kupigana na Hizbullah au Iran huyu
Mambo ni moto.
Screenshot_20210512-120807.jpg
 
Eti nchi inayo tumia mabilion ya $ kwa ajili ya jeshi lake leo hii inaenyeshwa na kikundi cha watu 30,000 tena kinacho tumia silaha duni.View attachment 1781831
Wapiganaji wanajificha nyuma ya raia je unataka na raia pia wapigwe?

Maana Israel latoa Tangazo raia wote wajitenge na Hamas la sivyo watauwawa maana kila panapofuka moto patalipuliwa kabisa ndio kinachoendelea... na Hamas wao hawajali wanarusha rocket wawaue waisrael wowote ndio lengo lao ila Israel akichoka atapiga kila kitu muanze kulia lia
 
Ni lini Israel ikawa na huruma na wapalesitina?
 
Halafu eti anataka kupigana na Hizbullah au Iran huyu
Teravivu inawaka moto.
Alafu eti kila siku wanajisifu eti wana mifumo ya ulinzi isiyo shindika.
Kama viroketi vinavyo tengenezwa kienyeji vina penya na kushabisha maafa kama haya ,vipi yale makombora ambayo Iran iliyatumia kukishambulia na kukiharibu kituo cha kijeshi cha Marekani Teravivu si ingekuwa majivu.
FB_IMG_16208112049377777.jpg
 
Kama alivyokua hana akili babayako au
We mtu hadi sasa only 5 missle out of hundreds ndo zimeshuka Jerusalem na less than 10 wekufa yaan kama ni kufanikiwa bas wamefanikiwa for 0.001% israel wametoa taarifa wapi wanapiga na more than 30 people wameenda,, huoni hapo,, kama Palestine na hamas wanakanyaga moto

Then kama hujui air raids za Israel kwenda iran ni sawa na routine za kawaida za pilots wa F 15 eagle za IDF,,, mlimshindwa kipindi anapewa taifa 1948 yupo weak kabisa mtamuweza now??
 
Only 5 missle? Yaaani uko mbagara nyuma ya keyboard alaf unazungumza utoporo, ingia kwenye mitandao ufuatilie habari
 
Teravivu inawaka moto.
Alafu eti kila siku wanajisifu eti wana mifumo ya ulinzi isiyo shindika.
Kama viroketi vinavyo tengenezwa kienyeji vina penya na kushabisha maafa kama haya ,vipi yale makombora ambayo Iran iliyatumia kukishambulia na kukiharibu kituo cha kijeshi cha Marekani Teravivu si ingekuwa majivu.View attachment 1781858
Teravivu ni wap?
 
Only 5 missle? Yaaani uko mbagara nyuma ya keyboard alaf unazungumza utoporo, ingia kwenye mitandao ufuatilie habari
Imepiga wapi zaid ya bus, jeep na nyumba ya watu ambao casualties hawazidi kumi, mm nasema missle zilizohit ground maana ,,, unaongelea nn ww,, au unadhan ndo mara ya kwanza hamas kurusha missles eti unadanganya watu kabisa RAFAEL DEFENSE SYSTEM ishindwe ni vi hamas,,,, nyoooo anagalia casualties uone
 
Teravivu inawaka moto.
Alafu eti kila siku wanajisifu eti wana mifumo ya ulinzi isiyo shindika.
Kama viroketi vinavyo tengenezwa kienyeji vina penya na kushabisha maafa kama haya ,vipi yale makombora ambayo Iran iliyatumia kukishambulia na kukiharibu kituo cha kijeshi cha Marekani Teravivu si ingekuwa majivu.View attachment 1781858
Inawaka moto gani mpaka sasa hamas wamerusha makombora 1000 lakini watu 7 tu upande wa Israel tatizo magaidi ya hammas hawajali wanarusha hovyo hovyo hamajali raia wa Israel kufa ila israel inachagua pakupiga ila yakijibiwa msiseme Israel inaua watoto na kina mama

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
I oppose any ceasefire with Hamas in Gaza.

It is time to uproot terrorism once and for all. In a peaceful Middle East, there is no place for terrorism.
IDF: Spokesman
FB_IMG_1620888881400.jpg
 
Kama alivyokua hana akili babayako au
Nyie magaidi hamjawahi kuwa na akili. Endeleeni kukata watu shingo huku mkisoma kuran ili mpate thawabu kwa Allah. Endeleeni kujilipua muuwe binadamu wenzenu huku mkiaamini peponi mtapewa makao mazuri. Hamjawahi kuwa na akili zaidi ya kufundishana eti mkifa peponi mtapewa mabikra 72 kweli matahira ni matahira tu.
Waislam safi wanajulikana na sio nyie magaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom