Kumekucha: Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,819
17,409
Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel.

Iran imedukua makampuni yenye technology ya Microsoft ya Ulinzi wa Marekani na Israel. Microsoft Treat Intelligent Center (MSTIC) imetamka leo hii jumatatu kwamba wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kulenga makampuni ya technology ya Ulinzi ya Marekani na Israel, viingilio vya bandari za Ghuba ya Uajemi na makampuni ya Usafirishaji duniani kwenye mipaka yake pamoja na biashara zilizopo ndani ya mashariki ya kati.

Kampuni zilizodukuliwa ni pamoja na makampuni ya Ulinzi yanayoiunga mkono Marekani, European Countries (EU) na Serikali washirika na Israel ambazo zinatengeneza radars za kisasa, teknologia za #drones, mfumo wa Satellites na mifumo mawasiliano ya dharula(emergency response communication systems.

Udukuzi huo unaambatana na masilahi(interests) ya taifa la Iran . Microsoft wamesema.

Credit: Kilimanjaro News

FB_IMG_16339811600622897.jpg
 
Wanatumia trick primitive sana, guessing password kwa kubadilisha ip address na kuwafanya wastukiwe kipimbi sana

Microsoft walisha wastukia hao wadukuzi tangu mwezi wa saba walipoanza, wakawaacha nadhani waliona hawana madhara
 
jamaa kaleta source ya info yake,can you please tell us source of your info?
Afu ukisoma heading unaweza dhani iran ime hack MS HQ kumbe wafanyakazi kwenye personal accounts zao, yani ni sawa na mtu ajigambe kua amedukua jf kumbe kakisia kisia password kafanikisha kupata password za baadhi ya mod

1634019824651.png
 
Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel.

Iran imedukua makampuni yenye technology ya Microsoft ya Ulinzi wa Marekani na Israel. Microsoft Treat Intelligent Center (MSTIC) imetamka leo hii jumatatu kwamba wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kulenga makampuni ya technology ya Ulinzi ya Marekani na Israel, viingilio vya bandari za Ghuba ya Uajemi na makampuni ya Usafirishaji duniani kwenye mipaka yake pamoja na biashara zilizopo ndani ya mashariki ya kati.

Kampuni zilizodukuliwa ni pamoja na makampuni ya Ulinzi yanayoiunga mkono Marekani, European Countries (EU) na Serikali washirika na Israel ambazo zinatengeneza radars za kisasa, teknologia za #drones, mfumo wa Satellites na mifumo mawasiliano ya dharula(emergency response communication systems.

Udukuzi huo unaambatana na masilahi(interests) ya taifa la Iran . Microsoft wamesema.

Credit: Kilimanjaro News

View attachment 1971541

Uwe na akili ya kusoma uijue Israel ni taifa la aina gani ww. Tatizo lako madrassa ishakuharibu.

See operations za Mossad. Acha utani ww.

Ngoja nikuwekee kipande kidogo cha Operations zao ndani ya Iran..

Iran​

Prior to the Iranian Revolution of 1978–79, SAVAK (Organization of National Security and Information), the Iranian secret police and intelligence service was created under the guidance of United States and Israeli intelligence officers in 1957.[42][43] After security relations between the United States and Iran grew more distant in the early 1960s which led the CIA training team to leave Iran, Mossad became increasingly active in Iran, "training SAVAK personnel and carrying out a broad variety of joint operations with SAVAK."[44]

A US intelligence official told The Washington Post that Israel orchestrated the defection of Iranian general Ali Reza Askari on February 7, 2007.[45] This has been denied by Israeli spokesman Mark Regev. The Sunday Times reported that Askari had been a Mossad asset since 2003, and left only when his cover was about to be blown.[46]

Iranian Intelligence Minister Heydar Moslehi has accused Mossad of assassination plots and killings of Iranian physicists in 2010. Reports have noted that such information has not yet been evidently proven. Iranian state TV broadcast a stated confession from Majid Jamali-Fashi, an Iranian man who claimed to have visited Israel to be trained by Mossad.[47]

Le Figaro claimed that Mossad was possibly behind a blast at the Iranian Revolutionary Guard's Imam Ali military base, on October 12, 2011. The explosion at the base killed 18 and injured 10 others. Among the dead was also general Hassan Tehrani Moghaddam, who served as the commander of the Revolutionary Guards’ missile program and was a crucial figure in building Iran's long-range missile program.[48] The base is believed to store long-range missiles, including the Shahab-3, and also has hangars. It is one of Iran's most secure military bases.[49]

Mossad has been accused of assassinating Masoud Alimohammadi, Ardeshir Hosseinpour, Majid Shahriari, Darioush Rezaeinejad and Mostafa Ahmadi-Roshan; scientists involved in the Iranian nuclear program. It is also suspected of being behind the attempted assassination of Iranian nuclear scientist Fereydoon Abbasi.[50] Meir Dagan, who served as Director of Mossad from 2002 until 2009, while not taking credit for the assassinations, praised them in an interview with a journalist, saying "the removal of important brains" from the Iranian nuclear project had achieved so-called "white defections," frightening other Iranian nuclear scientists into requesting that they be transferred to civilian projects.[24]

In early February 2012, Mossad director Tamir Pardo met with U.S. national security officials in Washington, D.C. to sound them out on possible American reactions in the event Israel attacked Iran over the objections of the United States.[51]

In 2018 the Mossad broke into Iran's secret nuclear archive in Tehran and smuggled over 100,000 documents and computer files to Israel. The documents and files showed that the Iranian AMAD Project aimed to develop nuclear weapons.[52] Israel shared the information with its allies, including European countries and the United States.[53]

Iraq​

This section needs additional citations for verification
 
Hata kama Iran wamefanikiwa kudukua kizo systems, Israel na Marekani hawawezi kukubali maana wataonekana wameshindwa mbele ya Wairani.

Haya mambo ya teknolojia ya kwenye computer hayana ujanja wa nchi fulani, ni uhodari wa mtu binafsi na utundu wake wa kucheza na computer. Ndiyo maana nchi kama marekani wakiona kijana mtundu hata kama anatoka nchi yoyote wanampa uraia haraka sana na kumtumia kwenye shughuli zao.
 
Watoa habari ni Marekani hapa inabidi uwaze mbali kidogo. Kikawaida Marekani na Israeli ndo manguli wa kushambulia mifumo ya kielektroniki ya mataifa mengine ikiwemo mifumo ya urutubishaji nyuklia ya Iran.. Nnachokiona hapa watu wanatafutiwa sababu wapate kichapo kama ilivyokuwa kwa silaha hewa za maangamizi alizotuhumiwa nazo marehemu Saddam Hussein. Tayari Israeli na Marekani wameshapelaka drones na midege mingine kwenye viwanja vya nchi ya Azerbaijan inayopakana na Iran.. Tusikilizie tu huu mchezo
 
Endelea kusubiria mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom