Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wakuu,

Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:

1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein

Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.

Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.

More to come...
 
5).........

umesahau mmoja..........
 
Mimi nadhani wapo sawa sana maana kwakweli kuna Mambo hayapo sawa nakuwakata hawa uwenda ikawa red light kwa Yule kijana anaye jifanya katumwa na mkuu na huo ndio mwisho wa picha.
 
Wakuu,

Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:

1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein

Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.

Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.

More to come...
Nape jembe ulaya la CCM kulikata si rahisi
 
Niliowanukuu hapa, naamini kama siyo wajumbe au viongozi wa BAVICHA basi ni wafuasi wa CHADEMA

Kuna matatizo mengi CHADEMA ya mitazamo, sera, utawala, uongozi na itikadi. Mnahitajika kujadili ya huko.

CCM inafanya mabadiliko kwa vitendo, CHADEMA inafanya siasa za harakati.

Serikali ya CCM inafanya mapinduzi ya kiuchumi, uongozi wa CHADEMA unajenga matukio.
CCM imechokwa nchi nzima.

Kifo cha CCM kimewadia.

Naona wajumbe wa halmashauri kuu sasa watakuwa ma DC. Hapo dikteta kiulainiiiii 2020 na hakuna mwingine wa kumpinga
 
Back
Top Bottom