Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

Status
Not open for further replies.
attachment.php

[/CENTER]
JAMAAANI BUNGENI :Wabunge ccm kupitia viti maalum Vicky Kamata, akiwa na mwenzake katika ofisi za bunge leo ndio vijana hawa wa bunge. Mie sisema maana picha zinajionyesha zenyewe bunge la mwaka huu balaaa

:A S 114::A S 114::A S tongue::A S tongue::A S-rose::A S-rose::A S 101::amen::kiss:
 
Hivi na hizi chain za miguuni zinaruhusiwa kama vazi rasmi la BUNGENI bora sijachaguliwa najihisi kubaka vile.

Mkuu mbona ni pambo la kawaida tu siku hizi. Ile maana nyingine unayofikiria baadhi ya watu wanasema sio kweli, take easy bro :smile-big:
 
Mbowe mwambieni asiingie bungeni na hayo magwanda yake watamrudisha mlangoni.
 
Kamanda PakaJimmy,Nyumbu & A town wote.

Mwaka 2015 nagombea ubunge tafadhalini sana naomba msaada wa hali na mali Mjengoni vipo vitu vya kufa mtu.

1. A town yupo mpiganaji Lema, labda utafute jimbo ambalo hakuna mpiganaji wa CHADEMA.
2. Haufai kutuongoza sisi watu wa Arusha kwakuwa nia yako siyo maendeleo, bali kwenda kufanya ngono mjengoni na vimwana wa CCM.
3. Naomba ubadilike kama una nia ya dhati kuwawakilisha watanzania, vimwana vipo vingi wanazaliwa kila siku, hautaweza kuwa maliza, uliowaona mjengoni ni 0.1% ya vimwana wa kitanzania.

WATANZANIA TUBADILIKE KUPIGANIA HAKI ZETU ZINAIBIWA TUKIONA!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu mbona ni pambo la kawaida tu siku hizi. Ile maana nyingine unayofikiria baadhi ya watu wanasema sio kweli, take easy bro :smile-big:

Mara nyingi wanadai eti mwanamke akivaa chain mguu wa kushoto, nyuma anatoa, ukiona kavaa miguu yote wanasema anatoa nyuma na mbele sasa sijui kama kuna ukweli wowote juu ya hilo.
 
quote_icon.png
Originally Posted by El Toro
attachment.php

[/CENTER]
JAMAAANI BUNGENI :Wabunge ccm kupitia viti maalum Vicky Kamata, akiwa na mwenzake katika ofisi za bunge leo ndio vijana hawa wa bunge. Mie sisema maana picha zinajionyesha zenyewe bunge la mwaka huu balaa


TUMEKWISHA HUKO MJENGONI. VIMWANA VIMESHEHENI SHANGA MIGUUNI. LA MSINGI "THEY SHOUL NOT LOOK BEYOND PANTS"

pembeni ya v kamata kifaa gani hicho?
 
kuwakomesha kukimbili viti maalumu ingeundwa sheria isemayo b4kupata kiti maalumu must upimwe ngoma na matokeo yako yabandike hadharani..mbona wengi wangkimbia

kwanza i wonder why hawa watu wasipimwe kwa manufaa ya jamii,mana wengine ni wachafuzi namba moja na wanatumia izo posho zao vibayaa,nliwahi sikia wakati wa bunge dodoma kunakuaga n extra population yaani wadad wanajaa sijui hii ni kweli au...je tz bila ukimwi INAWEZEKANAAAAAAAAAA????
 
kuwakomesha kukimbili viti maalumu ingeundwa sheria isemayo b4kupata kiti maalumu must upimwe ngoma na matokeo yako yabandike hadharani..mbona wengi wangkimbia

kwanza i wonder why hawa watu wasipimwe kwa manufaa ya jamii,mana wengine ni wachafuzi namba moja na wanatumia izo posho zao vibayaa,nliwahi sikia wakati wa bunge dodoma kunakuaga n extra population yaani wadad wanajaa sijui hii ni kweli au...je tz bila ukimwi INAWEZEKANAAAAAAAAAA????

Siyo siri ni kweli. Kuna wakati magazeti yalikuwa yanatoa viponzo vikionyesha makahaba wa Dar wakiwaomba msamaha wateja wao wa mikoani hasa Dar kuwa kipindi cha Bunge hawatakuwepo mitaani kwao maana wanasafiri kwenda DOM kuwahudumia waheshimiwa wabunge.
 
CHENGE%2BNA%2BSITTA%2BUSO%2BKWA%2BUSO.JPG


Spika aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta akisalimiana na Mbunge Mteule wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge , kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo, ambapo wote ni wajumbe wa kikao hicho.(Picha ana Freddy Maro).


My Take:

Je, huu ni urafiki wa Mashaka?

Uzuri wa Siasa za Tanzania nyingi zinaishia kwenye TV, Radio na Magazeti.

Soon msishangae kuona Picha ya Mteule Rais Dr. Slaa akifurahia jambo na Luteni Mstaafu Yusuph Makamba na Colonel Mstaafu Abdulhaman Kinana.

=========
PICHA ZAIDI NA MAELEZO:

sitta_kilango.jpg

Mbunge wa Jimbo la Urambo mashariki Samwel Sitta akisalimiana na Mbunge wa Same Mashariki Anna Kilango.

sitta_mdee.jpg

Samwel Sitta Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki na Spika wa bunge lililopita ambaye pia anagombea nafasi hiyo tena mwaka huu akipongezana na Mbunge kijana wa jimbo la Kawe HalmaMdee katika viwanja vya Bunge
kamata.jpg

JAMAAANI BUNGENI: Wabunge CCM kupitia viti maalum Vicky Kamata, akiwa na mwenzake katika ofisi za bunge leo ndio vijana hawa wa bunge.

sugu.jpg

Joseph Mbilinyi mhasisi wa bongo foreva aka Mr II akiwa katika pozi nje ya mjengo wa bunge baadhi ya watu walisema kuwa hataweza lakini mvua ya ushindi wa kura alizopata kutaka kwa wananchi wa jimbo la Mbeya mjini ndizo zilizowakata ngebe wabaya wake.

slaa_bungeni.jpg

Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama cha CHADEMA Dr,Willibrod Slaa akisalimiana na baadhi ya wabunge katika jengo la bunge leo jijini Dodoma baada ya kuwasili katika mkutano na wabunge wake leo mchana. Katikati ni mheshimiwa mbunge Dr. Hassani Mwinyi.
 
Hivi kikuku maana yake si indicator ya wanaotoa huduma ya O, or bata..!!?? Duuhh, kama huyu wa kulia mnato huo, nimeamini VITI MAALUM = VITU MAALUM:pound::kiss::hug: hizi cinema za bure hizi...Mungu ibariki Tz, wabariki vikuku wake,..... mm yangu :A S tongue::glasses-nerdy: kodi zetu hizooooooooo kwa vikuku, ila mbaya zaidi ni vikuku hadi kichwani, Oooops bye
 
Siasa za Bongo ndiyo hivyo. Sote tulishuhudia Chenge akibwabwaja kwa waandishi wa habari wakati anamchafua Mh. Sitta.

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom