Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

Status
Not open for further replies.
hapo wakipandisha kidogo tu blauzi utaoni vikuku vingine kiunoni
 
Kwani?

Hawa ni wa kuchaguliwa au viti maalum?

Au ni wale wadada wanaogawa vimemo mjengoni?
 
attachment.php

Hii bila kuiwekea maelezo ingeleta maswali sana vichwani...(ni maoni yangu tu, nasikia wazee huwa wanalea sana!)

Mzee anaomba kura kiaina.
 
quote_icon.png
Originally Posted by El Toro
attachment.php

[/CENTER]
JAMAAANI BUNGENI :Wabunge ccm kupitia viti maalum Vicky Kamata, akiwa na mwenzake katika ofisi za bunge leo ndio vijana hawa wa bunge. Mie sisema maana picha zinajionyesha zenyewe bunge la mwaka huu balaa


TUMEKWISHA HUKO MJENGONI. VIMWANA VIMESHEHENI SHANGA MIGUUNI. LA MSINGI "THEY SHOUL NOT LOOK BEYOND PANTS"
 
hahaaa kwa nini apewe BAN..hivi ukimuita mtu jina lake au la mumewe unapewa BAN??khee basi na mimi ntapewa BAN kwa kuandika kwenye signature yangu ...NAKUPENDA NYANZALA WANGU...
 
mhh kweli ndo mana vicky mwenyewe alisema wanawake na maendeleo....
embu spika wa JF anipe muongozo kidogo,je ivi vikuku vinaruhusiwa bungeni maana nakumbukawaati fulani marehemu amina chifupa sijui alivaa kofia or kitu gani akaambiw ahiruhusiwi bungeni..ss ivi vikuku inakuaje...mhhh hawa ndio wantaka wachengua wazalendo wetu wasitoe pointi zao kwa ufasaha....mafisadi wa kisaikolojia hawaaaaa
 
Nimewipenda hii hapa. Imetulia. Sugu atapanda chati sana muda si mrefu. Man of the people.

attachment.php
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom