Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.

Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.

Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:

Mbona umesema ubungo kimara kumbe notes inasema bucher resort alafu kimara nao wanaeenda kupewa notes wakati form inasema mwisho resort

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi mimi au hao waliovamia barabara kujenga nyumba za kuishi?
Mkuu ngoja nikueleweshe kidogo
Kabla ya mwaka 2007 hifadhi ya barabara ilikuwa ni mita 30 kila upande.
Mwaka 2007 ndipo waliongeza mita 60 na kufika mita 90
Kwa taarifa yako baada ya kuongeza hizo mita nyumba nyingi zilizokuwepo zikaingia kwenye hifadhi za barabara ambazo kisheria zinatakiwa kulipwa fidia.
Aidha wakata bomoabomoa ya kwanza inafanyika wananchi wengi walilipwa fidia ya viwanja huko mbweni.
Ukweli ni kwamba magu aliwakatili Sana watu aliowabomolea bila kuwapa fidia watu ambao barabara imewafuta.
Sio kweli kwamba nyumba zote zinazotakiwa kubomolewa zimejengwa baada ya mwaka 2007.
Halafu ukweli ni kwamba baada ya kuongeza hizo mita na kufika mita 90 hao tanroads walipita na kukagua nyumba zote zilizotakiwa kulipwa fidia na wakazipiga na picha na kuwaelekeza wananchi wasifanye maendelezo yeyote hizi kumbukumbu zote naamini tanroads wanazo
Kwa hiyo mkuu umechangia hoja ambayo huifahamu vizuri
 
Mkuu ngoja nikueleweshe kidogo
Kabla ya mwaka 1997 hifadhi ya barabara ilikuwa ni mita 30 kila upande.
Mwaka 1997 ndipo waliongeza mita 60 na kufika mita 90
Kwa taarifa yako baada ya kuongeza hizo mita nyumba nyingi zilizokuwepo zikaingia kwenye hifadhi za barabara ambazo kisheria zinatakiwa kulipwa fidia.
Aidha wakata bomoabomoa ya kwanza inafanyika wananchi wengi walilipwa fidia ya viwanja huko mbweni.
Ukweli ni kwamba magu aliwakatili Sana watu aliowabomolea bila kuwapa fidia watu ambao barabara imewafuta.
Sio kweli kwamba nyumba zote zinazotakiwa kubomolewa zimejengwa baada ya mwaka 1997.
Halafu ukweli ni kwamba baada ya kuongeza hizo mita na kufika mita 90 hao tanroads walipita na kukagua nyumba zote zilizotakiwa kulipwa fidia na wakazipiga na picha na kuwaelekeza wananchi wasifanye maendelezo yeyote hizi kumbukumbu zote naamini tanroads wanazo
Kwa hiyo mkuu umechangia hoja ambayo huifahamu vizuri

Huu ni uongo hahahahaha huu ni ulingo huu ni ulongo
 
Back
Top Bottom