wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Hivi nini kitatokeaHii kitu si mchezo
Hivi nini kitatokeaHii kitu si mchezo
ID ya kufunguliwa na watu lakini mahiri kwa matusi ! si ungefungua ID yako huru basi !Makamo aligoma kutoa papuchi kwa gaidi namba moja barani afrika
Unajidhalilisha kwa faida ya nani ?SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
Kama una ushahidi tuwekee hapa hatafu tufananishe na 'Upigaji' unaofanywa na Makada wa Chama cha MapinduziMWIZI GAIDI MLA RUZUKU
Ukiona wife ulomuita wife material anaenda kwa mjumbe kukushitaki kisa unyumba jua huna mke apoBaraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .
Video.
View attachment 1871504
NAKUFUNDISHA WEWE UNAYESHINDA KWENYE KEYBOARD KUMPAMBA HUYO DJ WENU ANAYEOZEA JELA KWA UJINGA WAKE GAIDI MKUBWA HUYOUnajidhalilisha kwa faida ya nani ?
MAKADA WAMEWAJENGEA NCHI HII HII MNAYOIFUARHIA NA KUTUMIA MITANDAO KUICHAFUA MNGEKUWA NYIE SASAHIVI MNGEKUWA NAGOMANIA VYEO TU KILA MTU ANATAKA KUWA WAZIRIKama una ushahidi tuwekee hapa hatafu tufananishe na 'Upigaji' unaofanywa na Makada wa Chama cha Mapinduzi
Ndio maana nimekwambia hiyo ni Dhana tu kama Ushahidi upo tuwekee hapa Jukwaa la Siasa tuusome au hujui kusoma ndugu.SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
asilimia 90 ya watanzania wanaielewa serikali iliyoko madarakani ndiyo maana lile shoga lenu la ubergiji lilipokuwa linaenda kwa bwana wake liliwaambia mufanye maandamano hakuna aliyeingia barabaraniUnajidhalilisha kwa faida ya nani ?
subiri ushahidi mwenzenu katumia mpaka basi sasahivi anajinyea tu mahabusu hukoNdio maana nimekwambia hiyo ni Dhana tu kama Ushahidi upo tuwekee hapa Jukwaa la Siasa tuusome au hujui kusoma ndugu.
Matusi na uchawi ndio tegemeo kubwa la masikiniasilimia 90 ya watanzania wanaielewa serikali iliyoko madarakani ndiyo maana lile shoga lenu la ubergiji lilipokuwa linaenda kwa bwana wake liliwaambia mufanye maandamano hakuna aliyeingia barabarani
Tokea Uhuru munasema Maji Safi kwa wote? na hao Wamalaysia ambao walikuwa sawa na sisi na leo wametuzidi kwa kila kitu nao wasemaje?MAKADA WAMEWAJENGEA NCHI HII HII MNAYOIFUARHIA NA KUTUMIA MITANDAO
USA wanawaogopa Magaidi. Msifikiri watawasikia Kapla ya wao kuchunguza. Na wao ndio Walimu wa jeshi letu la POLICE...Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .
Video.
View attachment 1871504
Kuna Debe au Mtondoo ambao hata Nelson Mandela na wenzake waliutumia.anajinyea tu mahabusu huko
andiko duni sanaUSA wanawaogopa Magaidi. Msifikiri watawasikia Kampala ya wao kuchunguza. Na wao ndio Walimu wa jeshi letu la POLICE...
Nimefuatilia Comments zako zote kiukweli Upo tofauti na wenzako. Angalia jinsi wachangiaji wanavyokujibu utagundua KOSA unalofanya.wafanikiwe wapi wameenda kupeleka umalaya wao tu hapo hakuna hata chadema hapo
Maharamia wao migawanyiko tu,au sio.Magaidi yana umoja sana