Kumekucha Arusha,Mbunge amwaga Noti na Kanga kwa wapiga kura

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Arusha ,Catherine Magige amewachefua wanaccm Wilayani Arumeru baada ya kutumia ziara yake kujijenga kisiasa kwa kutoa rushwa ya vitenge ,Fedha tasilimu ,mashine ya kusaga kwa wajumbe wa baraza kuu la UWT ili kujitengenezea mazingira ya kupigiwa kura 2020.

Magige anayetajwa kuwa na maadui wengi ndani ya chama hicho Mkoani hapa,anadaiwa kugawa rushwa hiyo kwa wajumbe hao ambao hutumika kupiga kura ya kuchagua wabunge kupitia nafasi ya UWT.

Akiwa katika halmashauri ya Meru Magige alitumia wasaa huo kuanza kampeni mapemaa huku akiwahamasisha akina mama ambao ni wajumbe wa baraza kuu la UWT wilaya Meru kujitokeza kugombea nafasi mbali mbali za uongozi ktk uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika baadae mwaka huu.

Mbunge huyo alitoa mashine ya kusaga na kukoboa yenye thamani ya Tsh.3,500,000/ na viti 100 vyenye thamani ya sh 1,600,000/ kama miradi ya UWT Wilaya ya Meru.aligawa pia vitenge kwa wajumbe hao ili kujiweka katika mazingira mazuri katika chaguzi zijazo akitajwa kugombea nafasi hiyo.

Baadhi ya wafuasi wa CCM wilayani humor wamelaani kitendo hicho na kumtaka katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru ally kumshughulikia Mara moja kwani amezoea pindi kunapokaribia uchaguzi hutenga fedha akijidai anasaidia wanaccm ,kumbe anatoa rushwa kwa wajumbe wa uwt ambayo ndio hushiriki kuchagua wabunge wa Viti maalumu ili kujijengea mazingira.
IMG-20190708-WA0010.jpeg
 
Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Arusha ,Catherine Magige amewachefua wanaccm Wilayani Arumeru baada ya kutumia ziara yake kujijenga kisiasa kwa kutoa rushwa ya vitenge ,Fedha tasilimu ,mashine ya kusaga kwa wajumbe wa baraza kuu la UWT ili kujitengenezea mazingira ya kupigiwa kura 2020.

Magige anayetajwa kuwa na maadui wengi ndani ya chama hicho Mkoani hapa,anadaiwa kugawa rushwa hiyo kwa wajumbe hao ambao hutumika kupiga kura ya kuchagua wabunge kupitia nafasi ya UWT.

Akiwa katika halmashauri ya Meru Magige alitumia wasaa huo kuanza kampeni mapemaa huku akiwahamasisha akina mama ambao ni wajumbe wa baraza kuu la UWT wilaya Meru kujitokeza kugombea nafasi mbali mbali za uongozi ktk uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika baadae mwaka huu.

Mbunge huyo alitoa mashine ya kusaga na kukoboa yenye thamani ya Tsh.3,500,000/ na viti 100 vyenye thamani ya sh 1,600,000/ kama miradi ya UWT Wilaya ya Meru.aligawa pia vitenge kwa wajumbe hao ili kujiweka katika mazingira mazuri katika chaguzi zijazo akitajwa kugombea nafasi hiyo.

Baadhi ya wafuasi wa CCM wilayani humor wamelaani kitendo hicho na kumtaka katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru ally kumshughulikia Mara moja kwani amezoea pindi kunapokaribia uchaguzi hutenga fedha akijidai anasaidia wanaccm ,kumbe anatoa rushwa kwa wajumbe wa uwt ambayo ndio hushiriki kuchagua wabunge wa Viti maalumu ili kujijengea mazingira.View attachment 1149372

Mbona hivyo vitenge ni vya hicho chama maana naona nembo ya mtu fulani anayehusiana na hicho chama..
Utaambiwa ni sare ya yao na walikuwa kwenye vikao vyao, kitenge cha huyo Mama kiaanguka ndo akakiokota na akaamua kumfungia
 
Kama ni kweli viongozi wa sisiem wanamaanisha kumaliza makandokando ya rushwa yaliyojikita ndani ya chama kwa miaka nendarudi mpaka kupelekea chama kuitwa majina ya ajabu ajabu, basi wachukue hatua madhubuti.

Si tu kwamba wamfukuze uanachama, bali waende mbele zaidi, wamburuze mahakamani.

Katibu mkuu wa sisiem pamoja na mwenyekiti kitaifa, walikwisha tamka wazi kwamba aina hiyo ya vijizawadi ndiyo rushwa yenyewe ambayo haitakiwi kufumbia macho.
 
Huyu Alishawahi ishi mitaa ya garden,nyuma ya mango garden Kino.......doh hilo jam iliyokuwa inaelekea kwake .....si mchz
Mpk kupata ubunge.......

Ova
 
Mwacheni classment wangu .Ni kiongozi mwadilifu na mwema Sana. Ikimpendeza mungu atakuja kuwa waziri was habari huyu.
 
Mtangulize Mungu mbele sasa imekuwa tanguliza rushwa mbele, rushwa ndiyo imekuwa namba moja ya CCM
 
Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Arusha ,Catherine Magige amewachefua wanaccm Wilayani Arumeru baada ya kutumia ziara yake kujijenga kisiasa kwa kutoa rushwa ya vitenge ,Fedha tasilimu ,mashine ya kusaga kwa wajumbe wa baraza kuu la UWT ili kujitengenezea mazingira ya kupigiwa kura 2020.

Magige anayetajwa kuwa na maadui wengi ndani ya chama hicho Mkoani hapa,anadaiwa kugawa rushwa hiyo kwa wajumbe hao ambao hutumika kupiga kura ya kuchagua wabunge kupitia nafasi ya UWT.

Akiwa katika halmashauri ya Meru Magige alitumia wasaa huo kuanza kampeni mapemaa huku akiwahamasisha akina mama ambao ni wajumbe wa baraza kuu la UWT wilaya Meru kujitokeza kugombea nafasi mbali mbali za uongozi ktk uchaguzi wa serikali za mtaa utakaofanyika baadae mwaka huu.

Mbunge huyo alitoa mashine ya kusaga na kukoboa yenye thamani ya Tsh.3,500,000/ na viti 100 vyenye thamani ya sh 1,600,000/ kama miradi ya UWT Wilaya ya Meru.aligawa pia vitenge kwa wajumbe hao ili kujiweka katika mazingira mazuri katika chaguzi zijazo akitajwa kugombea nafasi hiyo.

Baadhi ya wafuasi wa CCM wilayani humor wamelaani kitendo hicho na kumtaka katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru ally kumshughulikia Mara moja kwani amezoea pindi kunapokaribia uchaguzi hutenga fedha akijidai anasaidia wanaccm ,kumbe anatoa rushwa kwa wajumbe wa uwt ambayo ndio hushiriki kuchagua wabunge wa Viti maalumu ili kujijengea mazingira.View attachment 1149372

Mezazeni wenyewe motherfuckerz!

I hate all’yall!
 
Hongera sana Mama Magige toa tu haina shida watanzania wanahitaji msaada huo
 
Back
Top Bottom