^^
Sawa HuntersQ hapo unaposema waanzishaji wa usaliti ni ME !!
Kuna kiitikio siku hizi kinaimbwa na wanawake wa 'sitosheki haniridhishi'
Jibu lake ni kusaka kuridhishwa
vipi HuntersQ philosophy haitasaidia mwanamke kusaliti wa kwanza?
^^
Hivi wewe unaamini kama mwanaume wa kweli huwezi ridhisha mwanamke wako? Akikuambia humridhishi unachukua hatua gani? Au unakaa kimya au kumpiga na kumwambia "Malaya" ndiye haridhiki?
Wale wanaosaliti kwasababu hawaridhishwi wameshatumia mbinu nyiiiiingi za kutatua tatizo, imefika sehemu halitatuliki tena kwa njia ya halali!
Siku hizi kuna vibomba vya chooni "shutteffs" vinatusaidia sana, badala ya kutafuta stress nje! Haswa kwa wanaume zetu wanaotupenda lakini nguvu zimepungua
Last edited by a moderator: