Kumegewa ni jambo linaloumiza zaidi wanaume kuliko wanawake kuchukuliwa bwana

^^
Sawa HuntersQ hapo unaposema waanzishaji wa usaliti ni ME !!
Kuna kiitikio siku hizi kinaimbwa na wanawake wa 'sitosheki haniridhishi'
Jibu lake ni kusaka kuridhishwa
vipi HuntersQ philosophy haitasaidia mwanamke kusaliti wa kwanza?
^^

Hivi wewe unaamini kama mwanaume wa kweli huwezi ridhisha mwanamke wako? Akikuambia humridhishi unachukua hatua gani? Au unakaa kimya au kumpiga na kumwambia "Malaya" ndiye haridhiki?
Wale wanaosaliti kwasababu hawaridhishwi wameshatumia mbinu nyiiiiingi za kutatua tatizo, imefika sehemu halitatuliki tena kwa njia ya halali!
Siku hizi kuna vibomba vya chooni "shutteffs" vinatusaidia sana, badala ya kutafuta stress nje! Haswa kwa wanaume zetu wanaotupenda lakini nguvu zimepungua
 
Last edited by a moderator:
Maumivu niliyo yapata nipo gunduaga kwa Mara ya kwanza mpenzi nilie kuwa nae anagawa Papuchi sinto kaa nimsamehe,nacho shukuru yalinikomaza tu saa hivi mwanamke yeyote akinisaliti inaniuma lkn sio kivilee

poleeh jmn
 
We unaweza? Mara moja tu mkeo anachapwa alafu anajirekebisha anaacha kabisa!

Lazima nijirizishe kwanza chanzo usaliti,kama ni mazingira yasioepukika kibinadamu nitamsamehe,mfano mimi nimeondoka kwenda ng'ambo nikakaa mwaka mzima masomoni,napaswa kutambua kuwa ni ugwadu ulimzidi kama kweli atakuwa mwanamke aliyekamilika.
 
Hivi wewe unaamini kama mwanaume wa kweli huwezi ridhisha mwanamke wako? Akikuambia humridhishi unachukua hatua gani? Au unakaa kimya au kumpiga na kumwambia "Malaya" ndiye haridhiki?
Wale wanaosaliti kwasababu hawaridhishwi wameshatumia mbinu nyiiiiingi za kutatua tatizo, imefika sehemu halitatuliki tena kwa njia ya halali!
Siku hizi kuna vibomba vya chooni "shutteffs" vinatusaidia sana, badala ya kutafuta stress nje! Haswa kwa wanaume zetu wanaotupenda lakini nguvu zimepungua

^^
Ni wanawake wangapi wako wazi na tayari kusema hawaridhishwi kwa mume? Mbona taarifa ziko saluni,kwa mashosti, n.k
Wewe unaweza hilo? Wangapi umesikia wamesema kwa waume zao?
^^
 
Kuna yule kenge kaimba eti kuchapiwa ni siri ya ndani,sasa naomba kujua huyo msanii mwenyewe kaoa ama anaimba asichokijua ma kama ana mke hebu nitonye nimgongee alafu tuone kama ataifanya siri ya ndani

Watoto hawa wanajifanya kuimba lakini hawajuhi hata thamani ya mke ni nini kwq mwanaume
 
Msamehe,, ana akili hajapata busara wala uzoefu wa maisha.
^^
 
Hakuna cha mfumo dume wala nini hapa kilichopo ni majukumu ya kitabia na jinsi ulivyoumbwa! hakuna ruhusa kuwa na wake wengi au waume wengi ila sisi wanadamu kwa sababu ya tamaa na kusumbuana akili ndio tunaishia kukomoana kwa kujishughulisha na uzinzi! Chamuhimu ni kila mmoja wetu ajitambue kimajukumu katika nafasi yake ya kimaumbile, nikimaanisha mwanamke ayatimize kiukwelikweli yampasayo na kadhalika mwanamume vivyohivyo hapo ndio tutapata mapenzi ya kweli na mambo ya kuumizana yatakuwa yamekwisha! ukianza kudai mumeo akupikie kisa unadai haki sawa shauri lako!

Mkuu yaani hakuna kitu nakifurahia kama kufanya majukumu yangu ya kimaumbile! Na haki sawa so katika kupika na kufua! Haki ya kuishi, kuthaminiwa, elimu, afya, kumiliki Mali na hata kushiriki kutoa maamuzi tukianzia ngazi ya serikali ya chini familia.
Siwezi kudai hata siku moja wala haipo akilini kudai na mwanaume apike au adeki!
Nitadai kutunzwa, kupendwa, kutodhalilishwa, kutoletewa vimada etc etc
 
Lazima nijirizishe kwanza chanzo usaliti,kama ni mazingira yasioepukika kibinadamu nitamsamehe,mfano mimi nimeondoka kwenda ng'ambo nikakaa mwaka mzima masomoni,napaswa kutambua kuwa ni ugwadu ulimzidi kama kweli atakuwa mwanamke aliyekamilika.

mdau kwakua umeenda masomoni kwa muda mrefu ndo mkeo/mume atoke nje ya ndoa????
 
mtu anavumilia ukewenza ili iwe nini? akioa mwingine ni kwamba kanikosa mimi.

Wewe ni sampuli ya wanawake wachache sana,wengi wanavumilia,na ndio mana mwanamke akigundua mwanamke fulani anatembea na mume wake huwa anachukua hatua ya kumfata mwanamke huyo na kumtisha lakini mume wake anamucha tu,alafu kuondoka kwa mumeo inategemea mpaka uwe unalipa kwa wanaume wengi kiasi kwamba unakuwa na uhakika wa kupata mwingine umutakaye wewe,lakini kama haulipi unajua hata ukiondoka unaweza kupata tabu kupata mume unaemtaka,na hapo wengi wanaumua kuvumilia tu.
 
Hivi wewe unaamini kama mwanaume wa kweli huwezi ridhisha mwanamke wako? Akikuambia humridhishi unachukua hatua gani? Au unakaa kimya au kumpiga na kumwambia "Malaya" ndiye haridhiki?
Wale wanaosaliti kwasababu hawaridhishwi wameshatumia mbinu nyiiiiingi za kutatua tatizo, imefika sehemu halitatuliki tena kwa njia ya halali!
Siku hizi kuna vibomba vya chooni "shutteffs" vinatusaidia sana, badala ya kutafuta stress nje! Haswa kwa wanaume zetu wanaotupenda lakini nguvu zimepungua

hapo kwenye bold nimefurahi kweli, maana ni ukweli ambao nilikuwa sijaujua. ngoja nami nikiweke kwa toilet ya master bedrum yangu
 
mdau kwakua umeenda masomoni kwa muda mrefu ndo mkeo/mume atoke nje ya ndoa????

Sijahalalisha,lakini homoni za nyege ya mapenzi haziwezi kuendeshwa na akili,nyege zikimbana afanyaje?Ndio mana mwanaume kama una akili hupaswi kukaa mbali na mkeo muda mrefu zaidi,vinginevyo ajichue ama awe msagaji,lakini kibinadamu kila mtu ana kimo cha muda kustahimili kukaa bila sex.
 
^^
Ni wanawake wangapi wako wazi na tayari kusema hawaridhishwi kwa mume? Mbona taarifa ziko saluni,kwa mashosti, n.k
Wewe unaweza hilo? Wangapi umesikia wamesema kwa waume zao?
^^

Hilo nalo ni tatizo! Wanawake hatujui kusema au ni aibu, au wanaume ni wakali sana ukimwambia utapigwa au utaonekana mwingi sana, labda watanisaidia wengine. Mimi muwazi na nilijengwa na my first bf ambaye alinistukia sifiki akawa ananiambia mwanamke nakupenda sn lakini hukojoi? utakuwa mtamu sana ukikojoa!
Alinipeleka kwa Dr muhimbili wa psychiatric na alitusaidia sana mpaka nikawa mtamu
 
hapo kwenye bold nimefurahi kweli, maana ni ukweli ambao nilikuwa sijaujua. ngoja nami nikiweke kwa toilet ya master bedrum yangu

^^
venine I cant trust this,,anyway
Mambo yasiyofaa ni rahisi kunata akilini
^^
 
Last edited by a moderator:
linapokuja swala la usaliti katika mapenzi,maumivu na uvumilivu vinatofautiana sana kati ya mwanaume na mwanamke, mwanaume akigundua kamegewa anapata mshituko na mfadhaiko mkubwa zaidi na hata kuchanganyikiwa na mambo yake kukwama,mwanamke anapochukuliwa bwana mara nyingi hawaonekani kuumia sana kiasi cha kuchanganyikiwa,kwa nini inakuwa hivi?Kila mtu anaweza kuwa majibu tofauti,lakini mimi niliona sababu mbili.
1.toka zamani wanawake wapo tayari kuolewa wengi na mwanaume mmoja,hivyo kisaikolojia wanaona ni sawa tu,hapa wanaume hawajapita katika utamaduni wa kuchangia mke kama wanawake wanavyochangia mume.
2.sababu ya pili ni kuwa wanaume wanatumia gharama kubwa kuwatunza wapenzi wao,wakati wanawake ni wapokeaji tu,hapa mwanaume mpaka hela inamuuma ukiacha penzi,lakini mwanamke yeye hakuna hela anayopoteza zaidi ya kuumizwa na penzi pekee kama mpenzi wake atachukua mwanamke mwingine.

Mkuu hata wanawake wanaumia wakichukuliwa waume. kila mtu ana moyo bhana.
 
^^
venine I cant trust this,,anyway
Mambo yasiyofaa ni rahisi kunata akilini
^^

Himidini mbona Una wivu sana mpaka na vibomba khaaaaa.......... bora nikusaliti na kibomba au na mwanaume mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni sampuli ya wanawake wachache sana,wengi wanavumilia,na ndio mana mwanamke akigundua mwanamke fulani anatembea na mume wake huwa anachukua hatua ya kumfata mwanamke huyo na kumtisha lakini mume wake anamucha tu,alafu kuondoka kwa mumeo inategemea mpaka uwe unalipa kwa wanaume wengi kiasi kwamba unakuwa na uhakika wa kupata mwingine umutakaye wewe,lakini kama haulipi unajua hata ukiondoka unaweza kupata tabu kupata mume unaemtaka,na hapo wengi wanaumua kuvumilia tu.

sidhani kama kuolewa ni function ya kulipa kimuonekano peke yake, kuna mengi yanaangaliwa siku hizi mf. elimu, uchumi, personality, wengine wanapenda wanawake wachamungu etc etc, so it's a full package japo ni ngumu kupata package iliyokamilika kila kitu.
mwanamke ukishamuacha mume hutegemei kupata kijana bachellor tena akuoe, lazima atakuwa yule aliyepatwa na majanga kama wewe. ila kwangu mimi, nikimuacha/ nikiachwa na mume sitatafuta mwingine wa kunioa, labda wa kuniondolea stress ndogondogo.
 
Back
Top Bottom