Kumegewa ni jambo linaloumiza zaidi wanaume kuliko wanawake kuchukuliwa bwana

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
linapokuja swala la usaliti katika mapenzi,maumivu na uvumilivu vinatofautiana sana kati ya mwanaume na mwanamke, mwanaume akigundua kamegewa anapata mshituko na mfadhaiko mkubwa zaidi na hata kuchanganyikiwa na mambo yake kukwama,mwanamke anapochukuliwa bwana mara nyingi hawaonekani kuumia sana kiasi cha kuchanganyikiwa,kwa nini inakuwa hivi?Kila mtu anaweza kuwa majibu tofauti,lakini mimi niliona sababu mbili.
1.toka zamani wanawake wapo tayari kuolewa wengi na mwanaume mmoja,hivyo kisaikolojia wanaona ni sawa tu,hapa wanaume hawajapita katika utamaduni wa kuchangia mke kama wanawake wanavyochangia mume.
2.sababu ya pili ni kuwa wanaume wanatumia gharama kubwa kuwatunza wapenzi wao,wakati wanawake ni wapokeaji tu,hapa mwanaume mpaka hela inamuuma ukiacha penzi,lakini mwanamke yeye hakuna hela anayopoteza zaidi ya kuumizwa na penzi pekee kama mpenzi wake atachukua mwanamke mwingine.
 
Mshinga ndivyo mnavyojidanganya siyo? Kwamba sisi ke inauma kiduchu ila ninyi me ndio sana!!
Ubabe na mfumo dume ndiyo unatufanya tushindwe ku retaliate au kutoa adhabu kama mnazotoa ninyi!
 
Mshinga ndivyo mnavyojidanganya siyo? Kwamba sisi ke inauma kiduchu ila ninyi me ndio sana!!
Ubabe na mfumo dume ndiyo unatufanya tushindwe ku retaliate au kutoa adhabu kama mnazotoa ninyi!

^^
Unapoenda kusaliti ndoa si unakuwa unajua PLAN B ya kuchekelea?
^^
 
Mshinga ndivyo mnavyojidanganya siyo? Kwamba sisi ke inauma kiduchu ila ninyi me ndio sana!!
Ubabe na mfumo dume ndiyo unatufanya tushindwe ku retaliate au kutoa adhabu kama mnazotoa ninyi!

Kwa maelezo yako wewe uke wenza ni mwiko?Ama unaweza kuvumilia?
 
Mhh ila kweli,mfumo dume nao ni factor,ujue women tunaumia bt th way navoona men value their manhood and want to have everythng under their control,nahc ni fedheha sana,polen sana,women dnt min to cause all tht,t js happens smtym
 
^^
Unapoenda kusaliti ndoa si unakuwa unajua PLAN B ya kuchekelea?
^^

Sijakuelewa Himidini! Suala hapa ni maumivu kama yale mnayoyasikia ninyi! Haivumiliki ila kamfumo kawe ka kidini, au kitamaduni ndiko kanatulazimisha...
Ndiyo sababu tunalia tunanyanyaswa wanawake!
 
Upo sahihi wakati mimi nikimegewa napiga chini hapo hapo, Demu wangu huwa ananambia kabisa akijanifuma ilimradi ninajuta na simtendi tena atanisamehe. (Moyoni nilianza kuhisi huyu ananicheat nini?)
 
Alitoa na aliyepokea rushwa wote wana makosa

Siongelei uhalali wa usaliti kuonekana kosa upande mmoja ama la,bali naongelea utofauti wa hisia kati ya mwanamke na mwanaume pindi anaposalitiwa na mpenzi wake,umeelewa?
 
Upo sahihi wakati mimi nikimegewa napiga chini hapo hapo, Demu wangu huwa ananambia kabisa akijanifuma ilimradi ninajuta na simtendi tena atanisamehe. (Moyoni nilianza kuhisi huyu ananicheat nini?)

Ukichunguza zaidi,wanawake wanaamini kabisa kuchukuliwa mabwana zao si tatizo na hapa ndo unagundua wanaumia kidogo,ila wanaumia sana kama wakiachwa na hapo ni kama sisi wanaume
 
Sababu ya kwanza ndio ya msingi. Maumbile yao automatically yameumbwa kuchangia mume lakini wewe na mimi na wengine wote tusichukulie maumbile yao kama nafasi ya kuwasaliti. Kufanya hivyo ni dhambi. Wachangie basi ndani ya ndoa sio kiholela
 
Sijakuelewa Himidini! Suala hapa ni maumivu kama yale mnayoyasikia ninyi! Haivumiliki ila kamfumo kawe ka kidini, au kitamaduni ndiko kanatulazimisha...
Ndiyo sababu tunalia tunanyanyaswa wanawake!

^^
Nafanya connection ya Cheat responsibly (HuntersQ philosophy) ni hivii,
Umeamka mwenyewe! Umeenda nje ya mahusiano yako! Umemegwa! Nimejua umemegwa! Naumia!.. Sasa wewe unaumia nini au unachekelea?
^^
 
Mambo ya hisia haya hayasemewi kirahisirahisi hivi. Kanuni ya kuumia haipo na hakuna anayeweza kusema kwa uhakika nani kaumia zaidi. Unaweza kusema tu wanaume wanaweza kuchukua maamuzi makali au extreme ila hiyo si uthibitisho kuwa wanaume ndo wanaumia zaidi. Ni kweli kuwa wanaume huwekeza zaidi katika kuyaanzisha na kuyadumisha mahusiano. Ila unapotokea usaliti kwenye mahusiano kuumia hutofautiana kwa mtu na mtu ila si kwa jinsia.
 
Maumivu niliyo yapata nipo gunduaga kwa Mara ya kwanza mpenzi nilie kuwa nae anagawa Papuchi sinto kaa nimsamehe,nacho shukuru yalinikomaza tu saa hivi mwanamke yeyote akinisaliti inaniuma lkn sio kivilee
 
Back
Top Bottom