Kumegewa ni jambo linaloumiza zaidi wanaume kuliko wanawake kuchukuliwa bwana

Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,831
Likes
686
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,831 686 280
Kumresitisha in peace!Ha ha ha ha ha,kwa nini nyinyi munachukua hatua kwa wanawake wenzenu tu wanaowachukulia mabwana zenu lakini ni nadra sana kuona mwanamke anamchukulia hatua mpenzi/mume wake kama wafanyavyo wanaume?
aaaah wapi! hizo za kizamani. wengine tukifumania ujue ndio mwisho wako. hakuna msamaha, kisa cha kupangwa foleni nini!!!
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,622
Likes
2,690
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,622 2,690 280
Mbona wengine tunatumia majina halisi tena la ukoo,na hivi halipatikani kirahisi wanaonijua mbona hata hawajiulizi mara mbili kujua ni mimi,anyway tuendelee.
thats gud bro,,,,,,ila tuendelee me najifunza mengi sana leo
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
mdau me naamini katika kupendana,,,,
Kama tungekuwa tunajadili kwa misingi ya kuamini basi hata siwezi kukutaka kutoa maelezo mana imani wakati mwingine haielezeki na huwezi kumbadili mtu kirahisi hata kama atashindwa kuelezea ama kutetea,hapa tunajadili kwa kujenga hoja,kwa ushahidi na uzoefu wetu kwenye jamii,na ndipo tunapolazimika kutetea hoja zetu kwa maelezo dhabiti ikiwemo mifano.
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
aaaah wapi! hizo za kizamani. wengine tukifumania ujue ndio mwisho wako. hakuna msamaha, kisa cha kupangwa foleni nini!!!
Sawa,lakini ni asilimia ngapi ya wanawake wanaweza kuchukua maamuzi kama haya uliyoandika?Bado ni wanawake wachache sana wenye uwezo wa kuwachukulia hatua wanaume,na kama ndivyo huoni kwamba hoja yangu bado ina nguvu,kuwa wanawake(nikimaanisha wengi) huwa hawawachukulii hatua wapenzi/waume zao wanapowasaliti,hapo tunarudi nyuma,kwa nini wanawake wenzao wanaowachukulia mabwana zao ndo wanawashughulikia?Hapa majibu ya msingi yanatakiwa,pia kwa nini hawawachukulii hatua mabwana zao?Nikisema sababu kuu ni kwa kuwa wanawake wanaumia kidogo utakataa?Why kama unakataa?
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,622
Likes
2,690
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,622 2,690 280
Kama tungekuwa tunajadili kwa misingi ya kuamini basi hata siwezi kukutaka kutoa maelezo mana imani wakati mwingine haielezeki na huwezi kumbadili mtu kirahisi hata kama atashindwa kuelezea ama kutetea,hapa tunajadili kwa kujenga hoja,kwa ushahidi na uzoefu wetu kwenye jamii,na ndipo tunapolazimika kutetea hoja zetu kwa maelezo dhabiti ikiwemo mifano.
yaani wapo wa upande wa pili ambao kwa sababu wanazozijua wao wanatoka nje ya ndoa zao,,,,,,na wapo wasiotoka,,,,sasa hapa hawa wanaotoka wanachopaswa ni kujiuliza y wanatoka,je kuna haja ya wao kutoka,bado tupo pamoja kuna watokaj na wanahitaj kuelezwa athar za ku-cheat
 
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
4,218
Likes
1,266
Points
280
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
4,218 1,266 280
Katika makosa ambayo siwezi kusamehe ni mpenzi wangu kumegwa. Nikisha-prove, ndio mwisho wetu, there is no f***ng way I forgive you for that
 
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
4,537
Likes
37
Points
0
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
4,537 37 0
Sawa,lakini ni asilimia ngapi ya wanawake wanaweza kuchukua maamuzi kama haya uliyoandika?Bado ni wanawake wachache sana wenye uwezo wa kuwachukulia hatua wanaume,na kama ndivyo huoni kwamba hoja yangu bado ina nguvu,kuwa wanawake(nikimaanisha wengi) huwa hawawachukulii hatua wapenzi/waume zao wanapowasaliti,hapo tunarudi nyuma,kwa nini wanawake wenzao wanaowachukulia mabwana zao ndo wanawashughulikia?Hapa majibu ya msingi yanatakiwa,pia kwa nini hawawachukulii hatua mabwana zao?Nikisema sababu kuu ni kwa kuwa wanawake wanaumia kidogo utakataa?Why kama unakataa?
Huwezi kupambana na aliyekuzidi nguvu kirahisi Mshinga.
Kushindwa huko hakumaanishi akikukanyaga au akukudhulumu maumivu yake ni madogo!
Tena yanakuwa makubwa zaidi na mara mbili kwasababu amekuumiza halafu huna nguvu ya kupambana naye!
Linalonitatiza ni hili la kupambana na matawi alafu shina haliguswi linazidi kuchipua matawi mapya lol!
Mi napambana na wewe unayenihusu..... sina muda na alien!
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
win-win namaanisha,,,nampenda-ananipenda,
if so hatatoka na sitatoka nje ya ndoa
Labda 5% tu ndio wanapendana sawa na mabawa ya ndege warukao angani(wing wing situation) ama wawe viumbe hai ama ile ndege ya kubeba abiria(hapo kuna usawa katika upendo).lakini
Wengi wanaangukia kwenye wing wing situation fake ambapo usawa unaohubiriwa haupo kama ambavyo mataifa ya magharibi yamekuwa yakitudanganya kufanya wing wing contracts huku menyewe yakinufaika zaidi kuliko sisi na hapo no equality.
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
Huwezi kupambana na aliyekuzidi nguvu kirahisi Mshinga.
Kushindwa huko hakumaanishi akikukanyaga au akukudhulumu maumivu yake ni madogo!
Tena yanakuwa makubwa zaidi na mara mbili kwasababu amekuumiza halafu huna nguvu ya kupambana naye!
Linalonitatiza ni hili la kupambana na matawi alafu shina haliguswi linazidi kuchipua matawi mapya lol!
Mi napambana na wewe unayenihusu..... sina muda na alien!
Kidogo nimeshawishika. lakini,mbona hata hao wanawake hamutwangi makonde?Kwa nini mwaishia kuwafokea tu?Ama nao ni mabaunsa?Kwa nini na wanaume hata msiwabwatukie?Wanawake wengi wanaua wanaume kwa sumu lakini sababu siyo wivu bali pale wanapotaka kurithi mali yote eg machame style na kwingineko,hii inanipa fundisho kuwa pamoja na kwamba wanawake hawana nguvu za kupambana na mwanaume lakini wana mbinu mbadala kama sumu,swali linabaki palepale,je kama wanawake pia wanaumia sana mbona hawachukui hatua kwa mbinu mbadala?Nikisema hawaumii sana nakosea?
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,220
Likes
4,570
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,220 4,570 280
Swala hapo ni:-
1. amekunjwaje kunjwaje?
2. Tgo imesalimika?
3. Mpini wa jamaa ukoje?! kaunyanya au?
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
Swala hapo ni:-
1. amekunjwaje kunjwaje?
2. Tgo imesalimika?
3. Mpini wa jamaa ukoje?! kaunyanya au?
Kweli yataka moyog
Mtunzaji unamkunja kwa ustaarabu,deiwaka wanamkunja bila huruma.
Tigo yake hutumii,wenzio wanaizindua,dah inauma sana,siku zote mtu akiendesha gari lisilo lake atalipitisha popote. si hajui gharama zake.
 
Forum statistics

Threads 1,261,324
Members 485,118
Posts 30,086,562