Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,124
linapokuja swala la usaliti katika mapenzi,maumivu na uvumilivu vinatofautiana sana kati ya mwanaume na mwanamke, mwanaume akigundua kamegewa anapata mshituko na mfadhaiko mkubwa zaidi na hata kuchanganyikiwa na mambo yake kukwama,mwanamke anapochukuliwa bwana mara nyingi hawaonekani kuumia sana kiasi cha kuchanganyikiwa,kwa nini inakuwa hivi?Kila mtu anaweza kuwa majibu tofauti,lakini mimi niliona sababu mbili.
1.toka zamani wanawake wapo tayari kuolewa wengi na mwanaume mmoja,hivyo kisaikolojia wanaona ni sawa tu,hapa wanaume hawajapita katika utamaduni wa kuchangia mke kama wanawake wanavyochangia mume.
2.sababu ya pili ni kuwa wanaume wanatumia gharama kubwa kuwatunza wapenzi wao,wakati wanawake ni wapokeaji tu,hapa mwanaume mpaka hela inamuuma ukiacha penzi,lakini mwanamke yeye hakuna hela anayopoteza zaidi ya kuumizwa na penzi pekee kama mpenzi wake atachukua mwanamke mwingine.